Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau eeeeh, kwenye web ya utumishi kama kutakuwa na new label yoyote mtujulishe humu.. Yaan kama tangazo la kazi, interview au placement maana watu tunashinda humu JF via Freebasics, bando limepanda sana wakuu hvyo hatuwezi kuaccess psrs web kila mda na kila Siku
Yankule Natamani kujui iyo free basic unaipataje na mm niitumie.
 
Kitambulisho ni lazima kiwe VALID.
Nimeshuhudia sehemu kadhaa ambapo kitambulisho kilichoisha muda wake kikikataliwa.

Chukua barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji unapoishi. Ukifanya hivyo, UTA ENJOY.

One thing about sekretarieti ya ajira: Usiende Dodoma ukiwa na mashaka mashaka, wana tabia ya kujiinua.

Just be on the safe side.
Vipi kama leseni yangu ya udereva omeisha muda watanikubalia au nina photocopy ya kitambulisho cha nida original hakijatoka nishaurini nifanyeje
 
Wakuu kuna mdau kawa shortlisted kwenye PDF , ile anaenda kwenye akaunti yake Ajira portal akakuta wanasema hajawa shortlisted kwa sababu haja certify cheti kimoja cha baraza , hii kesi anai solve vipi aweze kupatiwa namba ya mtihani wakuu ??
 
Hii kesi ngumu
 
Back
Top Bottom