Data mining
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 406
- 484
Yankule Natamani kujui iyo free basic unaipataje na mm niitumie.Wadau eeeeh, kwenye web ya utumishi kama kutakuwa na new label yoyote mtujulishe humu.. Yaan kama tangazo la kazi, interview au placement maana watu tunashinda humu JF via Freebasics, bando limepanda sana wakuu hvyo hatuwezi kuaccess psrs web kila mda na kila Siku