Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ahsante kwa muongozo mkuu.Duh
Watu wanapanikisha wenzao humu, anyways ipo hivi, kuitwa tena sio kwamba umekosa zilizopita, ukishapewa check no na kufanya kazi miezi sita ndo utaacha kuitwa. Nina marafiki zangu watatu, mmoja yupo Halmashauri ndo alipata kazi ila interview za mbele zote aliitwa alizokuwa ameapply ata baada ya kupata kazi, mwingine alipata kazi sehemu mbili, yaan tyar alikuwa ashapata pccb, ila baadae kama week mbili sijui tena, Self Microfinance wakatoa majina nako alipata akachagua tu pccb, hapo kuna rafik angu mwingine pia alikuwa ashafanya oral ya TRA ila shortlist za SELF zilipotoka Written alikuwepo na oral akafanya ila akaja itwa baadae TRA. Kwa hiyo ambao washafanya oral msiwakatishe tu tamaa et kwa kuwa bado wanaitwa means wamekosa. Hiyo account inakaa active kwa miezi 6 kwa hiyo kazi zote ulizoapply utaendelea kuitwa tu na kama kazi uliopo huitaki unaweza endelea fanya tu interview.
Pia ukitaka kuapply wakati tayari ushapata kazi ila bado haijatimia miezi 6 kazini, itahitajika kupewa barua na mwajiri wako? au kwa muda huo hawahitaji barua kutoka kwa mwajiri?