Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huko kwenu sekta ya afya,. Huku kwetu changanyikeni ni purukushani tupu, muulizeni Kyagata na ile pepa ya katibu msaidizi wa bunge, ilionekana rahisi, watu walimaliza mwaswali yote, still highest ikawa 60+ kati ya candidet 1000+, walipita 32 tu, wengine wakaliwa vichwaaaa,.
[emoji2484][emoji2484][emoji2484][emoji2484]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndio mkuu.

Naenda kujaribu aisee, nikifika oral nitakuwa nimepiga hatua sana, naona wanaweza kuitwa watu chini ya 6.

Zilizopita kuna ipo ilihitaji watu 4, oral waliitwa watu 10, kwa mantiki hii ninatarajia hii wataitwa wachache zaidi
Kila la heri mkuu,. Ni natumai unaenda kushinda awamu hii.
 
Back
Top Bottom