Hiyo sababu ni kwa sababu chuo ulichosoma siyo university na kipo accredited na NACTE ambapo mode ya teaching ni 'Competency Based'' ambapo quality reviews zinafanywa kwa standard za NACTE,wakati vyuom kama Mzumbe,UDSM etc vipo regulated na TCU na mode of teaching ni 'Knowldege based' na quality reviews zinafanywa kwa standards za TCU,hivyo wanaona wakikuchukua ambae umesoma kwenye system inayo-differ na mode yao ya teaching italeta complication nyingine.Hivyo wewe una-qualify kwa vyuo ambavyo vipo regulated na NACTE tu. But kama ni issue ya ajira zingine za ku-practice apart from teaching,nadhani hiyo differentiation is irrelevant inategemea candidate husika utapambana vipi
Nawasilisha while i stand to be corrected