Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau inakuwaje ? Mimi Kuna post ya tutorial assistant sijawa shortlisted na sababu wameniwekea .

Training Institution not Accredited by TCU

Sasa hapo sijawaelewa wakuu kwamba Taasisi iliyonitrain haitambuliki na TCU au imekuwaje ?

NOTE:MIMI NIMEMALIZA MASOMO KWENYE TAASISI KAMA DIT,TIA,IAA HALAFU NILIOMBA POST ILIYOTOLEWA NA VYUO VIKUU KAMA MZUMBE,UDSM,UDOM.

aliyenielewa naomba anielekeze.
Taja chuo tu mkuu tutapata kujua kama wamekosea au vipi
 
Kwann usitaje tu chuo watu washauri vyema? Usiogpoe mkuu
 
Taja chuo tu mkuu tutapata kujua kama wamekosea au vipi
Hahahahhah poa poa mkuu but ni hapo hapo nilipotaja institutions na universities, ngoja nkurahisishie, kutoka TIA kwenda Ardhi university yaani kada nzima wameita watu Saba tu ndo najiuliza inamaana posts zimekuwa offered kwa Tanzania nzima halafu watu waitwe kidogo hivyo tena kwenye written hata kama GPA waliyoitaka ni 3.8 it still does not make sense watu Saba kwa wasomi wote TANZANIA hapana kwakweli
 
Wadau inakuwaje ? Mimi Kuna post ya tutorial assistant sijawa shortlisted na sababu wameniwekea .

Training Institution not Accredited by TCU

Sasa hapo sijawaelewa wakuu kwamba Taasisi iliyonitrain haitambuliki na TCU au imekuwaje ?

NOTE:MIMI NIMEMALIZA MASOMO KWENYE TAASISI KAMA DIT,TIA,IAA HALAFU NILIOMBA POST ILIYOTOLEWA NA VYUO VIKUU KAMA MZUMBE,UDSM,UDOM.

aliyenielewa naomba anielekeze.
Hiyo sababu ni kwa sababu chuo ulichosoma siyo university na kipo accredited na NACTE ambapo mode ya teaching ni 'Competency Based'' ambapo quality reviews zinafanywa kwa standard za NACTE,wakati vyuom kama Mzumbe,UDSM etc vipo regulated na TCU na mode of teaching ni 'Knowldege based' na quality reviews zinafanywa kwa standards za TCU,hivyo wanaona wakikuchukua ambae umesoma kwenye system inayo-differ na mode yao ya teaching italeta complication nyingine.Hivyo wewe una-qualify kwa vyuo ambavyo vipo regulated na NACTE tu. But kama ni issue ya ajira zingine za ku-practice apart from teaching,nadhani hiyo differentiation is irrelevant inategemea candidate husika utapambana vipi
Nawasilisha while i stand to be corrected
 
Poa poa mkuu, inawezekana ukawa sahihi mkuu, but wasingeniwekea possibilty ya kuomba kabisa maana sijaqualify kabisa, na nshaomba kwa vyuo kama vitatu hivi, Ngoja nione watasemaje huko kulikobakia asee.

Ila Asante mkuu
 
Na hiyo siyo kwako tu,kuna vijana wamesoma Economics IRDP Dodoma,lkn wanataka wakafundishe UDSM kwenye kada ya Economics,nao huenda wakawa disqualified Kwa sababu kama hiyo ya Accreditation ya TCU
 
Ila ni very petty reasons.
Waliofanya hivyo ni chuo cha ARU.
Nimewapigia wanadai hivyo.

Lakini si kweli, mbona kuna assistant lecturers from University wanafundisha NACTE and vice versa is True.
Ila roho imeniuma. Mimi nilitaka niwe selected tu nikapata hata experience ya interview.

May be kupunguza ushindani, ila is not fair at all.
Kwani in-service training ina kazi ganiii?
 
#Wadau nami ipo siku jina langu litaappear kwa mkekawa Placement PSRS na nitakuja kuwaambia hapa tena nikiwa nimepata kazi kwenye Taasisi nzuri tu..
MUNGU NDIO KILA KITU IPO SIKU HAUSLTLING ZETU ATAZIONA NA KUZIBARIKI.
Tuseme INSHALLAH......[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amin
 
Back
Top Bottom