Sijui kwanini wanachelewesha hizi ajira za vyuoni aisee ?
Maana kuna watumishi wengine inabidi waanze masomo mara tu baada ya kuajiriwa (Tutorial assistants). Sasa ukiwapeleka kazini muda ambao mwaka wa masomo umeshaanza (dirisha la maombi ya masters limeshafungwa) unakua umewabana watu wa namna hii.
Mfano TA wa UDSM anataka akasome Masters SUA au UDOM, then hadi dirisha la udahili kwa level ya Masters katika hivyo vyuo linafungwa, huyu TA wa UDSM bado hajapatikana (hata interview tu bado, ukiachilia mbali placement). Kwenye hili suala la ajira kuna kukurukakara nyingi sana.
Hii aione
Mwifwa pia.