Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Wengi wametolewa kwenye kazidata/DatabaseHivi hawa interview zao walifanya lini?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wametolewa kwenye kazidata/DatabaseHivi hawa interview zao walifanya lini?
Tutaomba msamaha mkuu, hahahahaaaaaaJobless mnapataje nguvu ya kuwa na makasiriko mkiangusha nyanya za watu mna ela ya kulipa?
😂😂😂😂😂hahhhhh ukute utumishi wamekukanda wakati huo halafu ukanyage nyanya za watu wakupige makofi hahhhTutaomba msamaha mkuu, hahahahaaaaaa
Lazima watoe tena kabla ya mwezi kuisha maana kuna ile ya chuo cha ADEM, hivyo awawezi pita huu mwezi bila kutoa kwani chuo kinafunguliwa tarehe 23 mwezi huu, na waliofanya usaili wa TUTOR chuo cha adem ni wengi sana hivyo lazima wapatikane kabla chui hakijafunguliwa naamini kati ya tarehe 12-20 lazima pdf isome tenaYan usaili wa June ,placement inatoka Leo sijui wa September placement ztatoka lini?
Hii ya june kuna mtu kati yetu aliyepata?Yan usaili wa June ,placement inatoka Leo sijui wa September placement ztatoka lini?
Ila PSRS wanautani sana Niliomba nafasi ya EXAMINATION OFFICE II chuo cha ATC . Tumeitwa watu 596 wakati nafasi yenyewe ni moja tu pia ndiyo mara ya kwanza kuona nafasi hii ina saili tatu, ya kwanza ni WRITTEN mchujo, yapili ni VITENDO mchujo na yamwisho ndio ORAL . Ya written na oral ni kawaida kwa post hii ila vitendo ndio mara ya kwanza naona kwa post hii ya EXAMINATION OFFICE. kwa idadi ya watu 596 bora nauli yangu ya kutoka Dar to Chuga nishonee kaunda suti kwa ajili ya saili za mbeleni kama nikifanikiwa kufika oral[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Naona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
afisa biashara TAMISEM wameweka??? Mana nkicheck kwangu haifungukiNaona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
Ok,maana sijawahi kuona tangazo lao la usaili.
Naona tamisemi wameweka afisa sheria tu.wengine sioni kama wameitwaafisa biashara TAMISEM wameweka??? Mana nkicheck kwangu haifunguki
Naona tamisemi wameweka afisa sheria tu.wengine sioni kama wameitwa.kwangu bado inasoma received tu.
Mm pia naisubiri hiiLazima watoe tena kabla ya mwezi kuisha maana kuna ile ya chuo cha ADEM, hivyo awawezi pita huu mwezi bila kutoa kwani chuo kinafunguliwa tarehe 23 mwezi huu, na waliofanya usaili wa TUTOR chuo cha adem ni wengi sana hivyo lazima wapatikane kabla chui hakijafunguliwa naamini kati ya tarehe 12-20 lazima pdf isome tena
Mkuu ni UDSM ipi ambayo wanaanza direct kwenye oral kwa maana ya kwamba hakunaga written ?Pole kwa kutokuitwa.pale huwa wana culture yao ambayo huwezi kuwabadilisha.
Huko vyuo vingine wanapigishwa written kwanza lakini hawa wenyewe direct wanaanza na oral.nadhani umeona tofauti iliyopo.mwenye kisirani ni wewe unaeita watu mafala kisa wanakuambia ukweli.
Nikutakie kila la heri katika mapambano yako.
Tuma PDFNaona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
Usiogope idadi mzee we nenda kapambanie riziki yko unapata tuIla PSRS wanautani sana Niliomba nafasi ya EXAMINATION OFFICE II chuo cha ATC . Tumeitwa watu 596 wakati nafasi yenyewe ni moja tu pia ndiyo mara ya kwanza kuona nafasi hii ina saili tatu, ya kwanza ni WRITTEN mchujo, yapili ni VITENDO mchujo na yamwisho ndio ORAL . Ya written na oral ni kawaida kwa post hii ila vitendo ndio mara ya kwanza naona kwa post hii ya EXAMINATION OFFICE. kwa idadi ya watu 596 bora nauli yangu ya kutoka Dar to Chuga nishonee kaunda suti kwa ajili ya saili za mbeleni kama nikifanikiwa kufika oral[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hawawezi kuweka mikeka mikubwa miwili kwa wakati mmoja hiyo LGAs and MDAs yenyewe hawajaweka yote. Nadhani sababu za usimamiziNaona wameweka pdf ya kuita watu kwa usaili ila NAOT na HESLB bado bilabila. Ila wale wa NIT, ATC, NPS, IRDPA, MDA & LGA...Cheki majina yenu kama yapo.
ShukranNaona tamisemi wameweka afisa sheria tu.wengine sioni kama wameitwa
All the best comradeWadau nimebahatika kuitwa interview kada ya TA ICT pale ATC mwenye exprience ya pepa ya practical naomba anipe abc