Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi alimpa manzi mwenzie au mjuba alienda kula kimasihara?
Mkaka mmoja na three girls, sisi wengine ni kazi kazi jaman ilimradi siku zimefika tumefanya interview, mkaka kaondoka after oral, na the rest wawili wanaondoka kesho asubuhi mwingine anasubir NAOT na mimi pia Alhamisi
 
Mkaka mmoja na three girls, sisi wengine ni kazi kazi jaman ilimradi siku zimefika tumefanya interview, mkaka kaondoka after oral, na the rest wawili wanaondoka kesho asubuhi mwingine anasubir NAOT na mimi pia Alhamisi
Kumbe umetega na NAOT, safi sana.

Una wigo mpana wa kuingia kwenye mrija wa Asali
 
Tupo mtu kibao. Ila tunaondoka jioni(usiku) ili tufike Dom asubuhi then mchana tukakandwe na tukitoka tuu tunageuza zetu Dar.
Kila la khei wakuu, mimi pakipambazuka naamsha mapema.

Saa nane mchana nitakuwa nane nane(gari isipozingua), then saa tisa au kumi nitakuwa nishafika na kuanza kupasha kwa ajili mkando
 
Naombeni ushauri wadau leo nimepigiwa simu ya kuripoti kazini private non profit org salary 1.4m na kesho natakiwa niende dom kupiga usaili naot nafas 3 nifanyeje akili imestuck

Hahaha, Mkuu una michezo ya hatari sana.

Ndugu wasaka ajira naomba nirudie mara kwa mara hii kauli mpaka inase vichwani hadi tunakufa, na ikiwezekana kila tukiamka asubuhi tuiseme mara sita na tusukumie na glass ya maji baridi, ni hivi: “KWA SOKO LA AJIRA LA TANZANIA KWA SASA, KUPATA KUNA MAANA ZAIDI KULIKO UMEPATA NINI”.

Mimi naamini mpaka mtu uliiomba nafasi, kuna mazuri uliyaforesee kwenye hiyo taasisi.

Kuliweka ombi lako la ushauri kwa lugha rahisi ni kwamba, unataka uachane na ajira uliyoipata ili ukatafute ambayo ni bora zaidi ila bado hujaipata na huna uhakika wa kuipata, Hahaha.

Anza kwa kujiuliza tofauti na hiyo ajira uliyoipata sasa hivi una ajira ipi, ili hata ukikosa zote hii ya NGO na NAOT ujue utabaki na kipi, kama huna au iliyopo ni mbovu zaidi akili ikucheze, kama unayo ya maana zaidi, hakuna shida fanya maamuzi yoyote hutakuwa umekosea.

Mkuu angalia uwezekano wa kwenda sehemu zote mbili, ikishindikana nenda ulikopata.
 
Back
Top Bottom