Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .

Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera

Mkuu nadhani sio kila anekuja kwenye interview ni jobless. Wengine wanataka tu kubadilisha kazi. Kumbuka sio kosa kwa mtu kubadilisha kazi.
 
Back
Top Bottom