Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hizo cases zipo nyingi sana kitaa.Hahaha, kabisa Mkuu. Wanawake wanatakiwa wasiwasiliti jobless wenzao haya Maisha ni ya kupita. Muda wowote jobless anakuwa mlamba asali, wataona aibu.
Tatizo watu wanakosaga subira, mambo huja na kupita, wanasahau hili