Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaangaliaziaga kwenye browser au app
Kwenye browser na app mara karibu zote kwenye app ndo baraaa now ya veta ipo selected for PRACTICAL ila kwenye browser ipo oral na hii nyingine kwenye app ipo selected for null ila kwenye browser inasoma shortlisted so utaona hapo ilivyo zigzag kifupi HAZINA MAAANA YEYOTE
 
Back
Top Bottom