Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaaa.

Labda nikisie kuhusu watu niliowaona ambao lazima walikuwa Wanasheria maana walivaa suti za kiuanasheria wote(ke na Me, sijui waliambizana)

Wadada walikuwa wengi kuliko wanaume.

Wadada wote walikuwa na miili mikubwa(sio ukubwa zaidi, ni ule ukubwa unaopendeza), isipokuwa mmoja ndio alikuwa na mwili mdogo halafu mrefu.

Kiumri lazima walikuwa 27+

Sikuona mdada mweupe sana isipokuwa weupe wa kawaida.

Niliona mtu kama Jebra Kambole(kama unatumia Twitter utakuwa unamfahamu au Wakili aliyesimamiaga kesi ya Abdul Nondo), ingawa atakuwa sio yeye ila amefanana sana.

Tumsubiri Prok aje asahihishe haya maelezo
A is eee[emoji3][emoji3][emoji3] umejitahidi
 
Hebu zibadili kwa kiingereza afu nione nikushaurije mkuu maana hapo naona uvivu aseeh kuanza kuwaza kiswahili kwenda kiingereza[emoji23]
1. Record keeping
2. Interpretation of rule and regulation under psrs
3. Research, and understanding of employees needed in organization
4. Preparation of long term and short term plan of organization.
5. To prepare equipment needed in training in collaboration with various university
6. Preparation of statistics concerning employees in organization

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya kwanza tu hapo umeacha maelezo mengine ambayo ni muhimu mzee Kuna zile sijui mikoa ,wilaya sijui hapo tu Kuna swali lake
 
Hapa ni nyumbani mkuu, siwezi kupasahau. Miongoni mwa watu waliokuwa outstanding hapa ni mimi.

Tumekandwa mara nyingi, tukaja hapa kuelezana, sikukimbia.

Leo hii nimefanya oral yangu ya kwanza na kuhitimisha application zangu za Utumishi kwa mwaka huu.

Tathmini ni kuwa nimepambana sana na kufikia hatua ya mwisho, na kumuachia mwamuzi sasa(placements).

Tukitusua, tusikimbie tuwe mentor kwa wengine. Imagine sahihi za utumishi zinafanyika kwa miaka mingi hadi sasa lakini ukitafuta muongozo huwezi kupata isipokuwa huu uzi, hapo ina maanisha watu wakishaingia kwenye mrija wanondoka na kusahau kutoa miongozo kwa wengine. Kwa sisi tuwe tofauti.

Sasahivi nimekuwa expert wa mambo ya PSRS mwanzo mwisho, haya madini sipaswi kupotea nayo itakuwa kosa endapo nikipotea nayo.

Tuishi mkuu

Asante sana Mkuu.
 
Hahahaaa.

Labda nikisie kuhusu watu niliowaona ambao lazima walikuwa Wanasheria maana walivaa suti za kiuanasheria wote(ke na Me, sijui waliambizana)

Wadada walikuwa wengi kuliko wanaume.

Wadada wote walikuwa na miili mikubwa(sio ukubwa zaidi, ni ule ukubwa unaopendeza), isipokuwa mmoja ndio alikuwa na mwili mdogo halafu mrefu.

Kiumri lazima walikuwa 27+

Sikuona mdada mweupe sana isipokuwa weupe wa kawaida.

Niliona mtu kama Jebra Kambole(kama unatumia Twitter utakuwa unamfahamu au Wakili aliyesimamiaga kesi ya Abdul Nondo), ingawa atakuwa sio yeye ila amefanana sana.

Tumsubiri Prok aje asahihishe haya maelezo

Hahaha, sawa Mkuu.
 
Back
Top Bottom