Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23]Tupe experience mzee wamekukandaje
Mkuu ni ujanja wako tu kuwajibu wale watu.Lakini pia uwe mfuatiliaji wa mambo.Kuna maswali si ya kusoma kwenye website za hizi kazi ni uelewa wako tu.

Kwa mfano unaulizwa AS A LOAN OFFICER WHAT WILL YOU DO TO AVOID STRIKE IN UNIVERSITIES? sasa hili unasoma wapi kwa mfano.

Me nimepambana kwa kadri navyoweza kuawaelekeza.

Ila mle ndani huwezi toka ukiwa na amani na kinachotakiwa ni kukubaliana na kitakachotokea.

Tuombe Mungu
 
Mle ndani ukitoka huelewi yani kilichotokea😂😂😂😂😂
 
STATISTICIAN II.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
1/. To design and develop National statistical system.
2/. To construct statistical procedures general and Sampling statistical system.
3/.To collect, analyse and dissemination statistical information at upper levels.
4/.To do other works assigned by supervisors.
Jiandae na ways of disseminating statistical informations or research findings
 
Back
Top Bottom