Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii huwa naitumia Yani nakusanya material yote afu natulia siku nikiliamsha nahakikisha zimeisha zote afu naawacha sasa tukakandane
Hii mbinu niliitumia kipindi nasubiri shortlist ya NAOT, ingawa sikuwa na uhakika wa kuwa shortlisted.

Nilimuona Dr. Ntuli Kapolongwe wa OR-Tamisemi kule Linkedln alipost hii guideline. Nikaona watu wanamuomba awatumie na mimi nikamuomba akanitumia.

Nilipokupitia nikaona kinaeleweka, nikaishi nacho.

The rest was history, nilipata maswali mawili kutoka humu
Screenshot_20221008-072732.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie bado sana mzee mpaka status zibadillike kuta selected for ora kwenda shortlisted tena zirudi selected for oral ndo zirudi shortlisted tena sio leo aseeh
Nimejiwekea nadhiri ya kutotembelea status hata iweje na maneno yenu humu.[emoji3][emoji3][emoji3]

Profile nitaifungua tu endapo nikiona kuna post mpya zipo hewani.

Nitakuwa nazurura sehemu 3 tu(Advertisement, Call, Placement)
 
Mkuu ni ujanja wako tu kuwajibu wale watu.Lakini pia uwe mfuatiliaji wa mambo.Kuna maswali si ya kusoma kwenye website za hizi kazi ni uelewa wako tu.


Kwa mfano unaulizwa AS A LOAN OFFICER WHAT WILL YOU DO TO AVOID STRIKE IN UNIVERSITIES? sasa hili unasoma wapi kwa mfano.


Me nimepambana kwa kadri navyoweza kuawaelekeza.


Ila mle ndani huwezi toka ukiwa na amani na kinachotakiwa ni kukubaliana na kitakachotokea.


Tuombe Mungu
Mara paap upo kwenye placement.

We plan, God decide!

Tuishi mkuu
 
Nimejiwekea nadhiri ya kutotembelea status hata iweje na maneno yenu humu.[emoji3][emoji3][emoji3]

Profile nitaifungua tu endapo nikiona kuna post mpya zipo hewani.

Nitakuwa nazurura sehemu 3 tu(Advertisement, Call, Placement)
😂😂😂😂Siku ukifungua tu account nakwambia kila dakika utakuwa unaicheki
 
Hahahahaa, Prok kashasema yeye ni mweupe kwa mbali maana jua lilikuwa linamchakaza hadi anakuwa mweusi na alisema atabeba mwavuli ili akajikinge.

Sasa yule mwembamba alikuwa mweusi na anakuwa sio yeye sasa
Hivi prok alikuwepo na leo kwn? Ila nimekaona kamdada kamevaa still kana English figure hivi na kamevaa wiving, yani kana wajihi wa prok kabisaaa
 
Back
Top Bottom