Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Pole sana mkuu, bila shaka umepapasa kwa kiasi chake kadri ulivyojaliwaNdo nimetoka,ndo nimetoka huko ndani Asha Rose Migiro kikaangoni.
Aiseeee ni hatariiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, bila shaka umepapasa kwa kiasi chake kadri ulivyojaliwaNdo nimetoka,ndo nimetoka huko ndani Asha Rose Migiro kikaangoni.
Aiseeee ni hatariiii.
Sawa nashukuru sanaaaJiandae na ways of disseminating statistical informations or research findings
Hii mbinu niliitumia kipindi nasubiri shortlist ya NAOT, ingawa sikuwa na uhakika wa kuwa shortlisted.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii huwa naitumia Yani nakusanya material yote afu natulia siku nikiliamsha nahakikisha zimeisha zote afu naawacha sasa tukakandane
Nimejiwekea nadhiri ya kutotembelea status hata iweje na maneno yenu humu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie bado sana mzee mpaka status zibadillike kuta selected for ora kwenda shortlisted tena zirudi selected for oral ndo zirudi shortlisted tena sio leo aseeh
😂😂😂😂😂 Prok njoo hapa hebu toa muongozo nataka nikupe Subaru mwakaniHahahahaa, Prok kashasema yeye ni mweupe kwa mbali maana jua likikuwa linamchakaza hadi anakiwa mweusi na alisema atabena mwavuli ili akajikinge.
Sasa yule mwembamba alikuwa mweusi na anakuwa sio yeye sasa
Mara paap upo kwenye placement.Mkuu ni ujanja wako tu kuwajibu wale watu.Lakini pia uwe mfuatiliaji wa mambo.Kuna maswali si ya kusoma kwenye website za hizi kazi ni uelewa wako tu.
Kwa mfano unaulizwa AS A LOAN OFFICER WHAT WILL YOU DO TO AVOID STRIKE IN UNIVERSITIES? sasa hili unasoma wapi kwa mfano.
Me nimepambana kwa kadri navyoweza kuawaelekeza.
Ila mle ndani huwezi toka ukiwa na amani na kinachotakiwa ni kukubaliana na kitakachotokea.
Tuombe Mungu
😂😂😂😂Siku ukifungua tu account nakwambia kila dakika utakuwa unaichekiNimejiwekea nadhiri ya kutotembelea status hata iweje na maneno yenu humu.[emoji3][emoji3][emoji3]
Profile nitaifungua tu endapo nikiona kuna post mpya zipo hewani.
Nitakuwa nazurura sehemu 3 tu(Advertisement, Call, Placement)
Sifungui kabisa, mara ya mwisho ilikuwa juzi tarehe 4 wakati naangalia selected. Hadi sasa sijafungua na sifungui aisee labda pawe na nafasi za kuomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ukifungua tu account nakwambia kila dakika utakuwa unaicheki
Eeeh Mungu baba, tafuteni kazi nyie, msiwaze subaru saa hizi. Jiwazie wewe kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Prok njoo hapa hebu toa muongozo nataka nikupe Subaru mwakani
Siku nimepata pesa yangu ya kwanza duh hata sijui nitaifanyia nn🤣Halafu cheque namba yake ipo kwenye hatua ya mwisho ya kuungwa kwenye mkongo wa Taifa[emoji1787][emoji1787]
Asante sn kaka.Ni kuufunga moyo na kusema life is trial and error.Pole sana mkuu, bila shaka umepapasa kwa kiasi chake kadri ulivyojaliwa
Tuliza akili kwanza.. Alafu muamini Mungu, njia itapatikana tuuKama muda huu SIJIELEWI hahahaaaaa, nachoshukuru nimepata gari private kaliiii na jamaa anakimbia balaa,hata sijali maana mle ndani daaah Mungu yupo.
Ngoja kwanza nitarudi Namtumbo kwetu
Hivi prok alikuwepo na leo kwn? Ila nimekaona kamdada kamevaa still kana English figure hivi na kamevaa wiving, yani kana wajihi wa prok kabisaaaHahahahaa, Prok kashasema yeye ni mweupe kwa mbali maana jua lilikuwa linamchakaza hadi anakuwa mweusi na alisema atabeba mwavuli ili akajikinge.
Sasa yule mwembamba alikuwa mweusi na anakuwa sio yeye sasa
Sawa mkuu natulia.Ila mpaka muda huu najiona mshindi hata kufika pale maana ndo application ya kwanza na nimefika hadi kwa wajuba mbeleTuliza akili kwanza.. Alafu muamini Mungu, njia itapatikana tuu
Hongera mwenzangu though hatujajuana,nimetoka hapo muda si mrefu, pole na hongera mkuuHabari ya mchana humu.
Nashukuru nimetoka salama kwenye usaili wa mahojiano.
Ahsanteni sana na madini na uzoefu mliotoa humu ili tuishi nao.
[emoji1431][emoji1431][emoji120]
😂😂😂😂😂tunajiwazia na Kuhonga Subaru ni wajibu wetu sisi jobless hao ,Kuna manzi aliniambiaga una ufunguo wa gari aseeh kimoyo moyo nikajisemea mbombo ngafu😂shenziEeeh Mungu baba, tafuteni kazi nyie, msiwaze subaru saa hizi. Jiwazie wewe kwanza
Mkuu mungu akubaliki ni Mimi apa endelea kutupia vitu.Kuna jamaa nani sijui humu aliomba vyakusoma kwenye afisa utumishi sijui ajaribu kupitia hizi documents hizi zinahusu tu duty yakwanza ya employee record management