meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Sawa tuungane kuangalia status za account Sasa 🤣🤣Ewaaa,asante Mungu nimefika salama huku kwetu Namtumbo. Tuombeane uzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tuungane kuangalia status za account Sasa 🤣🤣Ewaaa,asante Mungu nimefika salama huku kwetu Namtumbo. Tuombeane uzima.
Unataka aanze kupata presha😂😂😂😂na akijikologa tu akaangalia nakwambia kila cku atakuwa anaangaliaSawa tuungane kuangalia status za account Sasa 🤣🤣
Vipi Ushapata kazi mkuu?Huu uzii [emoji16][emoji16]
Kuna kazi nishakosa na status inasoma hivyo hivyoUshakuula shavu wewe [emoji3][emoji3]
Hata mimi lakini angalia kwenye web inasomaje afu utapata jibuKuna kazi nishakosa na status inasoma hivyo hivyo
Kwenye web niliyokosa inasema selected for oral na ile nayosubiria placement inasema shortlistedHata mimi lakini angalia kwenye web inasomaje afu utapata jibu
Umeuelewa huo utofauti??Kwenye web niliyokosa inasema selected for oral na ile nayosubiria placement inasema shortlisted
BadoUmeuelewa huo utofauti??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nipo naelekea kwangu nowUmenipita hapa Picha ya Ndege muda huu, nimechungulia nione kama utanipungia nimeambulia patupu[emoji3][emoji3]
jiandae kuchukua barua mzee na ile ya muce ipoje ?Bado
😅Selected for oraljiandae kuchukua barua mzee na ile ya muce ipoje ?
Tufuatane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nipo naelekea kwangu now
Nadhani mpaka hapo umeelewa vizuri na kwenye app hiyo ya muce imekuandikia selected for??😅Selected for oral
😂😂😂😂Jobless unatafuta utelezi hahhhhTufuatane
Kwenye app zote ziko sawa: selected for nullNadhani mpaka hapo umeelewa vizuri na kwenye app hiyo ya muce imekuandikia selected for??
😆 Majobless Kwa majobless tuoneane huruma😂😂😂😂Jobless unatafuta utelezi hahhhh
deal na IAE hiyo muce imeishia oral 😂😂Kwenye app zote ziko sawa: selected for null
😂😂😂😂😂Hahhhh😆 Majobless Kwa majobless tuoneane huruma