Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Nilikua najiona mwisho wa mwezi ni mwendo wa ATM.Yamekuwa hivyo tena๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua najiona mwisho wa mwezi ni mwendo wa ATM.Yamekuwa hivyo tena๐๐๐๐๐
Yes zipo placements zilizotolewa hata j5 na alhamisiPSRS hawaeleweki wanaweza kutoa hata leo
Uzuri serikalini hata itokee huu mwezi umeajiriwa wakati wameshaandaa payroll,utaiandikia kama madai haitaenda Bure..so Wala usiombee kujichelewesha kakaNilikua najiona mwisho wa mwezi ni mwendo wa ATM.
Kweli bora zitoke tuUzuri serikalini hata itokee huu mwezi umeajiriwa wakati wameshaandaa payroll,utaiandikia kama madai haitaenda Bure..so Wala usiombee kujichelewesha kaka
WachangamkeUzuri serikalini hata itokee huu mwezi umeajiriwa wakati wameshaandaa payroll,utaiandikia kama madai haitaenda Bure..so Wala usiombee kujichelewesha kaka
๐๐Wachangamke
๐๐๐๐Status inasomaje kwanza?kwenye appNilikua najiona mwisho wa mwezi ni mwendo wa ATM.
Wenzio wakiwa na amani hujiskii raha bro๐๐๐๐๐Status inasomaje kwanza?kwenye app
Ngoja tupite naoKuna huu uzi una madini, tuupitie
Haki na wajibu kwa watumishi wa Umma
Haki na Wajibu wa Mtumishi wa Umma. Mtumishi wa Umma una wajibu wa kutumia elimu, ujuzi na bidii katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Kadhalika una haki na stahiki mbalimbali unazopaswa kuzipata kutoka kwa mwajiri wako kama ifuatavyo:- 1. Kupewa Mkataba wa Kazi (Barua ya Ajira) Mtumishi wa...www.jamiiforums.com
๐๐๐๐๐Nataka nimchanganye asubuhi asubuhi ukute yupo not selected forWenzio wakiwa na amani hujiskii raha bro๐
Katika upumbavu sifuatilii ni status.๐๐๐๐Status inasomaje kwanza?kwenye app
๐๐๐๐Ufatilie inachanganya balaaKatika upumbavu sifuatilii ni status.
Subiri PDF hakuna ambaye amepata ajira kwa Status. Ni kupoteza muda tu kufuatilia Status๐๐๐๐Ufatilie inachanganya balaa
UmenenaSubiri PDF hakuna ambaye amepata ajira kwa Status. Ni kupoteza muda tu kufuatilia Status
acha uchawi we kijana umeshakandwa na psrs unataka kupanikisha watu๐๐๐๐๐๐Status inasomaje kwanza?kwenye app
๐๐๐๐๐Hahhhh afu wewe sindo imekuandikia not selected ,hapo tunasema baba jeni bye bye๐acha uchawi we kijana umeshakandwa na psrs unataka kupanikisha watu๐๐
Si mtuue basi ๐๐๐๐๐๐Hahhhh afu wewe sindo imekuandikia not selected ,hapo tunasema baba jeni bye bye๐
๐๐๐Hahhhh kaka imekuandikia not selected aseeeh baba jeni bye bye hapo umeyaaga mashindano na mwendo umeumalizaSi mtuue basi ๐
Good booyyyyHahahaaa.
Mimi jimbo lina mwenyewe, hiyob "kaka" akiitamka ndio imekaa kitaalamu sana