Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Me mwenyewe mzeeAiseee[emoji23][emoji23][emoji23], bibi kizee mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenyewe mzeeAiseee[emoji23][emoji23][emoji23], bibi kizee mimi
Huyu mwamba maswali yake yanaonesha ni namna gani hawez toboa kwenye pdfDuh we jamaa 🤣🤣 unacomplicate maisha 🤣🤣
Acha na me niendelee kukusanya material ya Kodi😁 Kila nikiona yametosha napata mengine yameshiba Zaid😂😂😂😂Hii huwa naitumia Yani nakusanya material yote afu natulia siku nikiliamsha nahakikisha zimeisha zote afu naawacha sasa tukakandane
😂😂😂😂Hahhhh nikipata nitakutumia buku ten mzee unywe sodaHuyu mwamba maswali yake yanaonesha ni namna gani hawez toboa kwenye pdf
😂😂😂Hapo uhakikaAcha na me niendelee kukusanya material ya Kodi😁 Kila nikiona yametosha napata mengine yameshiba Zaid
Tatzo unaonekana ni mwepesi kukandwa na utumishi 🤣 🤣😂😂😂😂Hahhhh nikipata nitakutumia buku ten mzee unywe soda
😂😂😂😂Hahhhh nikipata nitakutumia buku ten mzee unywe soda
😂😂😂😂 utumishi huwa nawakanda sana kwenye written ikija kwenye oral sasa ndo wananikanda kinyama yaniTatzo unaonekana ni mwepesi kukandwa na utumishi 🤣 🤣
Inalilah rajuhni Allah ampunguzie adhabu ya kaburihDah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
DooohDah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
Huyu faza siku tunapiga paper ya bunge,alitukagua vyeti..tena nilivyomcheck nikajisemea moyoni huyu faza kwa nini asingepumzika tu home coz naona kachoka flani hivi kama anaumwa vile,ila pia nikajisemea kiutu uzima hapa kaja kupigania kaposho ili mambo home yaende sawa.Dah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
Alale mahalai pema peponi!Dah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
Ameen!Inalilah rajuhni Allah ampunguzie adhabu ya kaburih
R.I.P MkandajiDah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
😂😂😂😂Watu wamevurugwaWatu wamechoka aisee,mpaka kwenye tangazo la msiba wanaulizia ustaarabu waoView attachment 2411769View attachment 2411769
😂😂😂😂😂😂😂😂Watu wamevurugwa
Jamaa ameshakandwa huko yan tang Mwezi mei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Jamaa ameshakandwa huko yan tang Mwezi mei