Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vyuo Vikuu vinaanzishwa kwa sheria, sheria husika ndo imevipa nguvu/hadhi ya kuwa mamlaka za ajira za watumishi wake, yaani wamepewa mamlaka ya kuendesha michakato ya ajira ya watumishi wake.

Ukiangalia saili nyingi za vyuo vikuu, PSRS imekuwa kama watch dog na kutumiwa kufanya shortlistings, tofauti kabisa na taaisi/instituties zingine ambazo PSRS huhusika moja kwa moja.

Nini kifanyike? Ni ukweli usiopingika kwamba PSPRS ukiacha mapungufu yake madogomadogo ni taasisi inayoaminiaka sana hasa na jobless na umma wa watanzania kwa ujumla, BUnge (Mbunge wako) ndo chombo pekee kinachoweza kufanya mabadiliko ya sheria zilizoanzisha vyuo vikuu na ile iliyoanzisha PSPRS ili kuhamishia majukumu hayo PSRS na kuifanya kuwa chombo pekee kinachosimamamia na kuendesha michakako ya kuajiri kwenye utumishi wa umma na kuwaongozea bajeti hasa ya rasilimali watu, ili michakato yake ifanyike kwa muda unaotajwa kwenye mkataba wa PSRS na wateja wake.
Swala sio sheria wala nani anasimamia usaili na michakato mingine ya ajira.

Suala ni uwazi katika michakato hiyo.

Kama ajira inatangazwa kwa uwazi, usaili uanafanyika kwa uwazi, je kwanini kuitwa kazini kufanyike kwa kificho kificho (kupigiana simu) ?

Hoja ipo hapo.

Na usinambie kwamba hayo ndio matakwa ya hiyo sheria. I will not buy it.

Kuna ugumu gani wa kuwatangaza waliofanikiwa kupata ajira kwa uwazi (na kwa wakati) kama ilivyokua kutangaza nafasi za kazi na usaili ?

Watu wako kazini tangu Oktoba 25, halafu eti unakuja na ki PDF chako Novemba 11...

Kuna siku tutazabana vibao kwenye hii nchi.
 
Hatari sana mzee
 
Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nipe experience ulivyoona Yale maandishi mekundu hahhhh
Unakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza ๐Ÿคฃ unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be
 
Hapo kwenye mtandao umecheza sasa hahhhhh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwamba aah labda mtandao umecheza lakini Sasa kwanini ucheze kwako tu hahhh
 
Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tulioitwa Interview pale MUCE tulikuwa 11. 10 wote walitoka UDSM na Mimi peke yangu ndio nilikuwa natoka UDOM. MUCE ni tawi la UDSM na nilijua tu hapa kupata itakuwa ngumu. Sema nikasema acha nikajaribu, na hii ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.

Kwakweli written nilifanya vizuri (nilikuwa wa pili) na ni watu watatu ndio tuliofanikiwa kuingia oral. Kwenye oral maswali yalikuwa ya kawaida tu, sema aliehitajika ni mmoja na siwezi sema kuwa alipendelewa, nafikiri alistahili kuchukua ile nafasi. Afterall ni mwanafunzi wa master, kwaiyo soon anaenda kuwa assistant lecturer.

Nilijifunza mengi katika interview hii ya kwanza na naamini imenifanya nijue vitu vingi.
 
Unajua hizi interview za chuo kufundisha mara nyingi wanapewa waliosoma pale labda kwakuwa wanayajua mazingia yao vizuri au vipi yani mimi nilishasema kama naenda kufanya interview ya TA labda iwe kwenye chuo nilichosoma maana magumashi mengi lakini hii inayokuja niyako mzee kuwa na imani
 
Amiin amiin naamini maneno yako yamebeba baraka๐Ÿ˜†
 
Wadau, Hivi Kuna uwezekano wa kuomba internships kwenye hizi kampuni binafsi/viwanda binafsi pasipo hata wao kutangaza nafasi za internships ?

Maana huku ndo naskia kama ukipata internship ukipiga kazi fresh Kuna possibility ya kupewa ajira permanent.

Na vipi namna yake ya kuomba ni unaenda kuacha vyeti na barua pale reception au unafanyaje wakuu ?
 
Back
Top Bottom