Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
HahahaaKijana wa not selected,upo?๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaKijana wa not selected,upo?๐๐๐๐
Swala sio sheria wala nani anasimamia usaili na michakato mingine ya ajira.Vyuo Vikuu vinaanzishwa kwa sheria, sheria husika ndo imevipa nguvu/hadhi ya kuwa mamlaka za ajira za watumishi wake, yaani wamepewa mamlaka ya kuendesha michakato ya ajira ya watumishi wake.
Ukiangalia saili nyingi za vyuo vikuu, PSRS imekuwa kama watch dog na kutumiwa kufanya shortlistings, tofauti kabisa na taaisi/instituties zingine ambazo PSRS huhusika moja kwa moja.
Nini kifanyike? Ni ukweli usiopingika kwamba PSPRS ukiacha mapungufu yake madogomadogo ni taasisi inayoaminiaka sana hasa na jobless na umma wa watanzania kwa ujumla, BUnge (Mbunge wako) ndo chombo pekee kinachoweza kufanya mabadiliko ya sheria zilizoanzisha vyuo vikuu na ile iliyoanzisha PSPRS ili kuhamishia majukumu hayo PSRS na kuifanya kuwa chombo pekee kinachosimamamia na kuendesha michakako ya kuajiri kwenye utumishi wa umma na kuwaongozea bajeti hasa ya rasilimali watu, ili michakato yake ifanyike kwa muda unaotajwa kwenye mkataba wa PSRS na wateja wake.
๐๐๐๐ Nimchanganye kidgo jobless mwenzangu hapa hahhhhHahahaa
Am here mkuu๐ฅฑ njaa kaliKijana wa not selected,upo?๐๐๐๐
Nishatoka kwenye level ya kuchanganyikiwa mkuu nasonga mbele kama injili๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ Nimchanganye kidgo jobless mwenzangu hapa hahhhh
Hatari sana mzeeSwala sio sheria wala nani anasimamia usaili na michakato mingine ya ajira.
Suala ni uwazi katika michakato hiyo.
Kama ajira inatangazwa kwa uwazi, usaili uanafanyika kwa uwazi, je kwanini kuitwa kazini kufanyike kwa kificho kificho (kupigiana simu) ?
Hoja ipo hapo.
Na usinambie kwamba hayo ndio matakwa ya hiyo sheria. I will not buy it.
Kuna ugumu gani wa kuwatangaza waliofanikiwa kupata ajira kwa uwazi (na kwa wakati) kama ilivyokua kutangaza nafasi za kazi na usaili ?
Watu wako kazini tangu Oktoba 25, halafu eti unakuja na ki PDF chako Novemba 11...
Kuna siku tutazabana vibao kwenye hii nchi.
Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu๐๐๐๐๐๐Swala sio sheria wala nani anasimamia usaili na michakato mingine ya ajira.
Suala ni uwazi katika michakato hiyo.
Kama ajira inatangazwa kwa uwazi, usaili uanafanyika kwa uwazi, je kwanini kuitwa kazini kufanyike kwa kificho kificho (kupigiana simu) ?
Hoja ipo hapo.
Na usinambie kwamba hayo ndio matakwa ya hiyo sheria. I will not buy it.
Kuna ugumu gani wa kuwatangaza waliofanikiwa kupata ajira kwa uwazi (na kwa wakati) kama ilivyokua kutangaza nafasi za kazi na usaili ?
Watu wako kazini tangu Oktoba 25, halafu eti unakuja na ki PDF chako Novemba 11...
Kuna siku tutazabana vibao kwenye hii nchi.
Very discouragingSema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐Nipe experience ulivyoona Yale maandishi mekundu hahhhhNishatoka kwenye level ya kuchanganyikiwa mkuu nasonga mbele kama injili๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tatizo leo zimetoka vibaya as if utumishi wanatuona hatuna akili๐๐๐๐Ukitaka huu Uzi uchangamke zitoke placement bwana๐คฃ
Unakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza ๐คฃ unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be๐๐๐๐Nipe experience ulivyoona Yale maandishi mekundu hahhhh
Tena kuua Soo Bora wangemealizia na placement zingine mpyaTatizo leo zimetoka vibaya as if utumishi wanatuona hatuna akili๐๐๐๐
Hapo kwenye mtandao umecheza sasa hahhhhh๐๐๐๐๐Kwamba aah labda mtandao umecheza lakini Sasa kwanini ucheze kwako tu hahhhUnakodoa kwanza macho broo,alafu unaongeza mwanga wa simu..ukimaliza una log out Kisha una log in..baada ya hapo unarefresh page kwanza ๐คฃ unarudia mara kadhaa kurefresh unalog out Tena then in..unabaki palepale kwenye page unaitazama huku unatafakarii..baada ya muda unaanza kujifariji Haikua rizki bwana,labda Kuna kitu Mungu kaniepushia. Au labda Kuna kitu kizuri kikubwa kaniandalia..hamna bwana labda mfumo imecheza...Aaah basi bwana kwani Mimi wa kwanzaaa...I played my part nifanyeje sasa Iko nje ya uwezo wangu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ zoezi Hilo ni kama lisaa hvi basi baada ya hapo unavuka unachapa mwendo..nahisi wenzangu wale wapo kwenye huu Uzi maana baada ya Ile mada ya status kwenye app wakanichek kwa mpigo wote not selected wamevurugwa wakati huo mi nishakaa sawa tayari๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ..hope umepata experience bwana Mvuta mrija wa asali to be
Tulioitwa Interview pale MUCE tulikuwa 11. 10 wote walitoka UDSM na Mimi peke yangu ndio nilikuwa natoka UDOM. MUCE ni tawi la UDSM na nilijua tu hapa kupata itakuwa ngumu. Sema nikasema acha nikajaribu, na hii ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.Sema hapo kwenye kupigiana simu daaah wanatupa hasira sana yani kama Ahmet alipanda basi mpaka iringa afu akasubiri pdf anakuja kusikia kuna watu wamepigiwa simu๐๐๐๐๐๐
๐๐๐Wangetaka kutupoza wangeweka zingine lakini ile moja tu aseeh hapana wanayumbaTena kuua Soo Bora wangemealizia na placement zingine mpya
Unajua hizi interview za chuo kufundisha mara nyingi wanapewa waliosoma pale labda kwakuwa wanayajua mazingia yao vizuri au vipi yani mimi nilishasema kama naenda kufanya interview ya TA labda iwe kwenye chuo nilichosoma maana magumashi mengi lakini hii inayokuja niyako mzee kuwa na imaniTulioitwa Interview pale MUCE tulikuwa 11. 10 wote walitoka UDSM na Mimi peke yangu ndio nilikuwa natoka UDOM. MUCE ni tawi la UDSM na nilijua tu hapa kupata itakuwa ngumu. Sema nikasema acha nikajaribu, na hii ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.
Kwakweli written nilifanya vizuri (nilikuwa wa pili) na ni watu watatu ndio tuliofanikiwa kuingia oral. Kwenye oral maswali yalikuwa ya kawaida tu, sema aliehitajika ni mmoja na siwezi sema kuwa alipendelewa, nafikiri alistahili kuchukua ile nafasi. Afterall ni mwanafunzi wa master, kwaiyo soon anaenda kuwa assistant lecturer.
Nilijifunza mengi katika interview hii ya kwanza na naamini imenifanya nijue vitu vingi.
Amiin amiin naamini maneno yako yamebeba baraka๐Unajua hizi interview za chuo kufundisha mara nyingi wanapewa waliosoma pale labda kwakuwa wanayajua mazingia yao vizuri au vipi yani mimi nilishasema kama naenda kufanya interview ya TA labda iwe kwenye chuo nilichosoma maana magumashi mengi lakini hii inayokuja niyako mzee kuwa na imani
๐๐๐๐Tuishi humo Mungu hutenda pale tunapoaminiAmiin amiin naamini maneno yako yamebeba baraka๐