duuuuh ni hatariBadoo hizo Mwalim nyerere CBE wote hao bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuuuh ni hatariBadoo hizo Mwalim nyerere CBE wote hao bado
Ogopa sana kuingia kwenye pepa za oral na kina dada na weny issue za disabilities. Mara nyingi favour huwa ni kwao na hasa kama amevuka alama za ufaulu (passmark)😂😂😂😂Kumbe tena Kuna mambo ya jinsia na umri aseeeh tutafika tumechoka sana
Ngoja waje wadau walifnya kutoa ushuhudaWatakuwa wamepigiwa mzee wasingetangaza kabla hawajaita watu kazini
😂😂😂😂Yani ukishaona mwanamke mpo nae ujue hapo hamna chenu nakumbuka oral moja tuiingiaga watu 11 kati yetu alikuepo mdada mmoja nandiye aliyepata kazi sema kwa nilivyopigaga nae story wala hakuwa na uwezo mkubwa maana Kuna maswali aliniulizaga afu niyakawaida tu ambayo yeye alikuwa hayaelewiOgopa sana kuingia kwenye pepa za oral na kina dada na weny issue za disabilities. Mara nyingi favour huwa ni kwao na hasa kama amevuka alama za ufaulu (passmark)
Tena zama hizi ndo kbsaa lzma apewa mwanamke😂😂😂😂Yani ukishaona mwanamke mpo nae ujue hapo hamna chenu nakumbuka oral moja tuiingiaga watu 11 kati yetu alikuepo mdada mmoja nandiye aliyepata kazi sema kwa nilivyopigaga nae story wala hakuwa na uwezo mkubwa maana Kuna maswali aliniulizaga afu niyakawaida tu ambayo yeye alikuwa hayaelewi
Humu sijasikia wa CBE aliyeulizia labda hawapoNgoja waje wadau walifnya kutoa ushuhuda
😂😂😂😂Hahhhh zama za mama au sioTena zama hizi ndo kbsaa lzma apewa mwanamke
Mwalimu nyerer,DIT,CBE,TengeruHumu sijasikia wa CBE aliyeulizia labda hawapo
Kbsaa mzee zama zao hizi😂😂😂😂Hahhhh zama za mama au sio
Hii ya tengeru kuna jamaa alianzishaga uzi wake sijui ngoja tuoneMwalimu nyerer,DIT,CBE,Tengeru
😂😂😂Kwahiyo tuwe wapole tu au sioKbsaa mzee zama zao hizi
Katika usaili wa kuandika au vitendo, mtu mwenyeTena zama hizi ndo kbsaa lzma apewa mwanamke
😂😂😂😂Kumbe mambo yapo hivi tena aseeh ngoja nikumbuke niliofanya nao kama Kuna hata ambae alikuwa na hitilafu yoyoteKatika usaili wa kuandika au vitendo, mtu mwenye
ulemavu atakayekuwa amefikisha alama za kuanzia za ufaulu
kama zilivyofafanuliwa katika Kanuni ya 16, atastahili
kuendelea na usaili wa mahojiano.
(2) Katika usaili wa mahojiano, mtu mwenye ulemavu
atakayekuwa amefikisha alama za kuanzia za ufaulu kama
zilivyofafanuliwa katika Kanuni ya 16, atakuwa na sifa ya
kupata ajira sawa na wasailiwa wenye ufaulu wa juu, kwa
kuzingatia mahitaji ya kazi.
Of course huenda baadhi ya watu wamefeli lakini sababu nyengine ni kwamba nafasi nyingi hapo zimekuwa re-advertized kwakua hamna watu wa kufill hizo nafasi. Kuna Uzi nilizungumzia hili na nimeona Kwa macho. Haiwezekani watu wafeli hivyo. Enrollment ya wanafunzi Kwa postgraduate hapa tz bando ni ndogo sana kulingana na mahitajiMkeka wa kazi unakuja soon post hizo wamereadtise kabla ya kutoa plecement means watu wamekndwa hizo post 🤣🤣
Unajua mtu huwezi kusoma Masters ikiwa hata bachelor tu haijakuletea manufaa yoyote by then unakuta umesoma kwa mkopo kwahiyo pesa yakujiendeleza nayo inachangia watu kuwa wachache mzee sio Kwamba hawataki kusomaOf course huenda baadhi ya watu wamefeli lakini sababu nyengine ni kwamba nafasi nyingi hapo zimekuwa re-advertized kwakua hamna watu wa kufill hizo nafasi. Kuna Uzi nilizungumzia hili na nimeona Kwa macho. Haiwezekani watu wafeli hivyo. Enrollment ya wanafunzi Kwa postgraduate hapa tz bando ni ndogo sana kulingana na mahitaji
Kabisa, wengi hatuna uwezo wa kuafford hayo masomo acha zitaendele kuwa re-advertized mpaka wajue kuwa baadhi ya fani hakuna watuUnajua mtu huwezi kusoma Masters ikiwa hata bachelor tu haijakuletea manufaa yoyote by then unakuta umesoma kwa mkopo kwahiyo pesa yakujiendeleza nayo inachangia watu kuwa wachache mzee sio Kwamba hawataki kusoma
Na za tutorial nazo vp maana kuna ICT tutorial nao walikandwaOf course huenda baadhi ya watu wamefeli lakini sababu nyengine ni kwamba nafasi nyingi hapo zimekuwa re-advertized kwakua hamna watu wa kufill hizo nafasi. Kuna Uzi nilizungumzia hili na nimeona Kwa macho. Haiwezekani watu wafeli hivyo. Enrollment ya wanafunzi Kwa postgraduate hapa tz bando ni ndogo sana kulingana na mahitaji
Ni kweliUnajua mtu huwezi kusoma Masters ikiwa hata bachelor tu haijakuletea manufaa yoyote by then unakuta umesoma kwa mkopo kwahiyo pesa yakujiendeleza nayo inachangia watu kuwa wachache mzee sio Kwamba hawataki kusoma
😂😂😂😂Wenyewe watupe ajira then tukasome lakini sio wanvyotaka waoKabisa, wengi hatuna uwezo wa kuafford hayo masomo acha zitaendele kuwa re-advertized mpaka wajue kuwa baadhi ya fani hakuna watu
Kuna baadhi ni Kwasababu ya kufeli, lakini hizo za assistant lecturers na lecturers nyingi ni Kwasababu hamna watuNa za tutorial nazo vp maana kuna ICT tutorial nao walikandwa