Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ogopa sana kuingia kwenye pepa za oral na kina dada na weny issue za disabilities. Mara nyingi favour huwa ni kwao na hasa kama amevuka alama za ufaulu (passmark)
😂😂😂😂Yani ukishaona mwanamke mpo nae ujue hapo hamna chenu nakumbuka oral moja tuiingiaga watu 11 kati yetu alikuepo mdada mmoja nandiye aliyepata kazi sema kwa nilivyopigaga nae story wala hakuwa na uwezo mkubwa maana Kuna maswali aliniulizaga afu niyakawaida tu ambayo yeye alikuwa hayaelewi
 
Tena zama hizi ndo kbsaa lzma apewa mwanamke
 
Katika usaili wa kuandika au vitendo, mtu mwenye
ulemavu atakayekuwa amefikisha alama za kuanzia za ufaulu
kama zilivyofafanuliwa katika Kanuni ya 16, atastahili
kuendelea na usaili wa mahojiano.
(2) Katika usaili wa mahojiano, mtu mwenye ulemavu
atakayekuwa amefikisha alama za kuanzia za ufaulu kama
zilivyofafanuliwa katika Kanuni ya 16, atakuwa na sifa ya
kupata ajira sawa na wasailiwa wenye ufaulu wa juu
, kwa
kuzingatia mahitaji ya kazi.
 
😂😂😂😂Kumbe mambo yapo hivi tena aseeh ngoja nikumbuke niliofanya nao kama Kuna hata ambae alikuwa na hitilafu yoyote
 
Mkeka wa kazi unakuja soon post hizo wamereadtise kabla ya kutoa plecement means watu wamekndwa hizo post 🤣🤣
Of course huenda baadhi ya watu wamefeli lakini sababu nyengine ni kwamba nafasi nyingi hapo zimekuwa re-advertized kwakua hamna watu wa kufill hizo nafasi. Kuna Uzi nilizungumzia hili na nimeona Kwa macho. Haiwezekani watu wafeli hivyo. Enrollment ya wanafunzi Kwa postgraduate hapa tz bando ni ndogo sana kulingana na mahitaji
 
Unajua mtu huwezi kusoma Masters ikiwa hata bachelor tu haijakuletea manufaa yoyote by then unakuta umesoma kwa mkopo kwahiyo pesa yakujiendeleza nayo inachangia watu kuwa wachache mzee sio Kwamba hawataki kusoma
 
Kabisa, wengi hatuna uwezo wa kuafford hayo masomo acha zitaendele kuwa re-advertized mpaka wajue kuwa baadhi ya fani hakuna watu
 
Of course huenda baadhi ya watu wamefeli lakini sababu nyengine ni kwamba nafasi nyingi hapo zimekuwa re-advertized kwakua hamna watu wa kufill hizo nafasi. Kuna Uzi nilizungumzia hili na nimeona Kwa macho. Haiwezekani watu wafeli hivyo. Enrollment ya wanafunzi Kwa postgraduate hapa tz bando ni ndogo sana kulingana na mahitaji
Na za tutorial nazo vp maana kuna ICT tutorial nao walikandwa
 
Back
Top Bottom