Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Wanawanyima vjana kz imagine hizo zote zingekua ni za TA 🤣🤣🤣😂😂😂😂Wenyewe watupe ajira then tukasome lakini sio wanvyotaka wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawanyima vjana kz imagine hizo zote zingekua ni za TA 🤣🤣🤣😂😂😂😂Wenyewe watupe ajira then tukasome lakini sio wanvyotaka wao
Kwli watu hakunaKuna baadhi ni Kwasababu ya kufeli, lakini hizo za assistant lecturers na lecturers nyingi ni Kwasababu hamna watu
Walikandwa wote au?Na za tutorial nazo vp maana kuna ICT tutorial nao walikandwa
The meaning of wanaume tumeumbwa mateso🤣🤣🤣😂😂😂😂Yani ukishaona mwanamke mpo nae ujue hapo hamna chenu nakumbuka oral moja tuiingiaga watu 11 kati yetu alikuepo mdada mmoja nandiye aliyepata kazi sema kwa nilivyopigaga nae story wala hakuwa na uwezo mkubwa maana Kuna maswali aliniulizaga afu niyakawaida tu ambayo yeye alikuwa hayaelewi
😂😂😂😂😂Kasome masters mzeeKwli watu hakuna
Kabisa yaani ingekuwa neema kwelikweliWanawanyima vjana kz imagine hizo zote zingekua ni za TA 🤣🤣🤣
Itakua ila waliingia oral labda oral ndo walifeliWalikandwa wote au?
😂😂😂😂Kale kademu kalivyopata nikasema kaaah asa kamepataje wakati kalikuwa hakajui tuThe meaning of wanaume tumeumbwa mateso🤣🤣🤣
Ngoja tuoneItakua ila waliingia oral labda oral ndo walifeli
Yaani ukichanganya kigezo na GPA na kusoma masters na kuendelea utawapata wachache sana.Kwli watu hakuna
Walienda oral labda huko oral ndo walikandwa woteWalikandwa wote au?
Hela baba kitaa pagumu sna😂😂😂😂😂Kasome masters mzee
😂😂😂😂😂Vurugu tupu duniani ni mwendo wa ngiri tuYaani ukichanganya kigezo na GPA na kusoma masters na kuendelea utawapata wachache sana.
Iko hivi mwenye GPA kubwa hana uwezo wa kusoma Hadi master na kuendelea na mwenye uwezo wa kusoma postgraduate hana GPA kubwa. Mambo mvuruganoo😜😜
Vijana walikandwa oral 🤣🤣Ngoja tuone
Sasa hivi ukiwa na GPA KUBWA NI BORA UKASOME TU😂😂😂😂😂Vurugu tupu duniani ni mwendo wa ngiri tu
😂😂😂😂Hahhhh kitaani pagumu afu kuna na not selected hahhhh kichwa kinapata moto kinyama yaniHela baba kitaa pagumu sna
Sasa hivi ukiwa na GPA KUBWA NI BORA UKASOME TU
Written yangu ya kwanza tulikutana na watu 3 ambao wanajitolea kwa mwajiri aliyetangaza hizo nafasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wanaojitoleaga wanakuaga na dhalau sana sisi tuliendaga kupiga interview na wale wanaojitolea kwenye written sasa tukakariri namba zao majibu kuja hawakupita kwenda oral sema wanakuaga na dhalau sana yani hata ukimuuliza hiki kinaendaje Hataki kusema mamaaaae sana
Watuajiri tutajisomesha wenyeweTatizo pesa sasa😂😂😂