meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Data lazima ziwe sawa mkuu Kwa sababu Zina share database mojaJinsi walivyoiprogramme website na app nitofauti kwahiyo Haiwezi kufeed data zilizo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Data lazima ziwe sawa mkuu Kwa sababu Zina share database mojaJinsi walivyoiprogramme website na app nitofauti kwahiyo Haiwezi kufeed data zilizo sawa
Lazima vichwa viume km ni hivoo... daaah hili kasheshe mbnaData lazima ziwe sawa mkuu Kwa sababu Zina share database moja
Zinamaana Kwa System Na Watumiaji Ila Haziaminiki for 100%. Kwa Sababu Huwa Zinabadilika Kulingana Na Mahitaji Ya Wakati Husika.ibaki miezi sita lakini tunauliza zile status za kwenye portal zinamaanisha nini mkuu?kama hazina maana tukalime sasa kijijini maana kipindi cha mvua ndo hiki
Sawa sawa umeelewekaZinamaana Kwa System Na Watumiaji Ila Haziaminiki for 100%. Kwa Sababu Huwa Zinabadilika Kulingana Na Mahitaji Ya Wakati Husika.
Wait for Pdf.
Usifate Status.
Katika huo uzalendo wa kweli, ukitekelezwa ipasavyo, huu msamiati "kulamba asali" hautotumika tena. Na zaidi hata wataokuwa wamepata hizo nafasi watakua wanatimiza majukumu kama wanafanya adhabu.Matumiz
Matumizi yasio na lazima ni mengi sana kama wakiwa wqzalendo wa kweli jobless weng watapta kazi
😂😂😂😂Tutafika mbinguni tumechoka sana aseehLazima vichwa viume km ni hivoo... daaah hili kasheshe mbna
lakini sasa wakiona kama adhabu waachie wenye uzalendo wafanye kaziKatika huo uzalendo wa kweli, ukitekelezwa ipasavyo, huu msamiati "kulamba asali" hautotumika tena. Na zaidi hata wataokuwa wamepata hizo nafasi watakua wanatimiza majukumu kama wanafanya adhabu.
Yaan ukifikiria na haya mambo ya re-advertise unapagawa unaweza kumwaga ubongo kwa fikraa hahaZinamaana Kwa System Na Watumiaji Ila Haziaminiki for 100%. Kwa Sababu Huwa Zinabadilika Kulingana Na Mahitaji Ya Wakati Husika.
Wait for Pdf.
Usifate Status.
Kama post yako imekua readvterse na ulifka oral hesabu umekandwa bahaYaan ukifikiria na haya mambo ya re-advertise unapagawa unaweza kumwaga ubongo kwa fikraa haha
😂😂😂😂Hahhh hujui jobless mwenzio ana presha mkuu??Kama post yako imekua readvterse na ulifka oral hesabu umekandwa baha
😅 daah mjomba kanipagawisha hahahaha, ila fresh.😂😂😂😂Hahhh hujui jobless mwenzio ana presha mkuu??
😂😂😂😂Sema hiyo tunasema baba jeni bye bye mzee😅 daah mjomba kanipagawisha hahahaha, ila fresh.
Duh kumbe hata hiz ambazo watu wamefanya saili wanaweza kusitisha ,Ngoja tufanye yetuMwaka 2016, wakati ajira mpya zinasitishwa, kuna jobless walikuwa na barua za ajira mikoni. Mpaka leo bado wanaona kama muujiza
😂😂😂😂Kaka hili Jambo la kazi naona lipo serious kuliko hata sisi wenyewe aseehDuh kumbe hata hiz ambazo watu wamefanya saili wanaweza kusitisha ,Ngoja tufanye yetu
2013 kuna wale jamaa wa SUA wanasoma LAB, waliajiriwa kupitia sekritariati, wakapangiwa vituo vya kazi kada ya afya, HRs wakawapa barua za ajira ile inaonyesha hadi mshahara, walipopandisha paticulars zao kwenye mfumo (LAWSON) wakawaambia course waliosoma haitambuliwi na mfumo. HRs wakawaita wakawaambia waje na barua za ajira kuna kitu kilikosewa, ndo asali ikawa imeyuka hivyo.Duh kumbe hata hiz ambazo watu wamefanya saili wanaweza kusitisha ,Ngoja tufanye yetu
Hv hyo cheki namba ni Namba ya nn na nan mwenye jukumu la kuitengenezaZa Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chache
Ila Hawana mchakato mrefu kama Hapo utumishi.
Tamisemi Hawafany Usaili.
Ku attach vyeti then mkeka unatoka,Unaend kazini.
Huku Utume,Uwe shortlisted,Ukafany Usaili, Wapitie matokeo na Sifa Zingine, Then Placement, Uchukue Barua N kPeleka Kwa Mwajiri. Kuna wengine Wanaend Tena kwny Mafunzo, Usubiri cheque No kutoka Hazina.Mwajiri Akujulishe Lin Unanzaa kazi,
Hapo Bado Ajira Yako Ipo Kwny Mzani Haijakamilika N Mpka uanzee kazi Na Upoke Barua ya Kudhibitishwa Kazini au Ufanye Zaidi ya miez 6.Baada ya kuonekan Unafany kazi kwa ufanisi Na kutimiza majukumu yako ukizingua Unamwaga Anaitwa wa Database.
Ndo Maan LifeSpan Ya Data Base Ni 6 Months.Hiyo sababu moja wapo.
Haya mambo naona kumbe ni magumu sana aseeh2013 kuna wale jamaa wa SUA wanasoma LAB, waliajiriwa kupitia sekritariati, wakapangiwa vituo vya kazi kada ya afya, HRs wakawapa barua za ajira ile inaonyesha hadi mshahara, walipopandisha paticulars zao kwenye mfumo (LAWSON) wakawaambia course waliosoma haitambuliwi na mfumo. HRs wakawaita wakawaambia waje na barua za ajira kuna kitu kilikosewa, ndo asali ikawa imeyuka hivyo.
Tunapoteza muda ili jumanne ifike tuone pdf na tukitoka huku kwenye mchakato wa ajira tunarudi kule kwenye STATUS kama ni SELECTED. au baba jeni bye bye By Wizy.....Hali mbaya watu mnajadili michakato ya ajira wakati status tu zimetushinda
Kasema inatolewa hazina kwahiyo nadhani ni kama I'd no yakuidhinisha malipo yako yanaenda kwa mtu fulaniHv hyo cheki namba ni Namba ya nn na nan mwenye jukumu la kuitengeneza
Ya ni namba id ya muajiriwa wa utumishi wa umma...inatolewa hazina kwa ajili ya kusajiliwa na kutambulika kwenye payroll ya watumishiKasema inatolewa hazina kwahiyo nadhani ni kama I'd no yakuidhinisha malipo yako yanaenda kwa mtu fulani