Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapana mkuu, zote utakuwa umefaulu ila jukumu la kuchagua taasisi ni lako mhusika na sio PSPRS.

Hizi issue huwa zinatokea sana tu utakuta mtu amefanya Oral kama 3 hv na zote kafanya vizuri. Ni yeye ndio atachagua aende wp.
Hivi ikitokea umefanya oral kwa post 2 tofauti za taasisi moja na ukafaulu kote kwenye placement wanakuchagua post zote uchague mwenyewe au unapangwa post moja
 
Back
Top Bottom