Lazima watueleze kwanini walitublue tickHahahahahaha!Hasira mingi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima watueleze kwanini walitublue tickHahahahahaha!Hasira mingi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]ntiooooooooJobless ndo unaamka [emoji16]
Hapo sawa mkuuMkuu placement unaweza kupangwa sehemu zote ambazo umefaulu mitihani yao. Ila mwisho wa siku ni lazima uchague moja ambako ndio utapewa check no.
Shukran nmepata kujua ,Maana nilikuwa sijaiona hii Act...bravooo sanasoma kanuni zao wameeleza hayo yote mkuu
👇
👇
Kanuni za Uendeshaji wa Shughuli za Sekretarieti ya Ajira ...
Aisee kwa hyo ikitokea umekosa kweny TA hv ulipata labda 62 umeingia kweny kanzidata au ni vp au ni kuanzia 70 hyo hyo,,,Maana kada zingine ni 50 ufahulu zingne 60 ...mwenye kujua kidogo hapo atujulishe wengne ni slow learners 😊😊Inategemea na post, hizi za kufundisha ni 70
Wapo sema hawasemi mzeeIna maana hizi placements hakuna hata mnufaika mmoja kutoka hapa jukwaani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jobless ndo unaamka [emoji16]
😁😁😁aonekane tu Kwamba yupo hai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aamke alfajiri aende wapi sasa
Hivi Tanzania Geothermal development company (TGDC) subsidiary ya TANESCO wameshatoa selection Kwa ajili ya interview ?
Wapo ila wamechagua kukaa kimyaIna maana hizi placements hakuna hata mnufaika mmoja kutoka hapa jukwaani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aonekane tu Kwamba yupo hai
Mood ya kazi imekata,sjui ndo dalili za kuupata mrija wa asali[emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aamke alfajiri aende wapi sasa
😂😂😂😂😂😂 jobless unajibless au sioMood ya kazi imekata,sjui ndo dalili za kuupata mrija wa asali[emoji3061]
Hivi ikitokea umefanya oral kwa post 2 tofauti za taasisi moja na ukafaulu kote kwenye placement wanakuchagua post zote uchague mwenyewe au unapangwa post mojaHapana mkuu, zote utakuwa umefaulu ila jukumu la kuchagua taasisi ni lako mhusika na sio PSPRS.
Hizi issue huwa zinatokea sana tu utakuta mtu amefanya Oral kama 3 hv na zote kafanya vizuri. Ni yeye ndio atachagua aende wp.
Unachaguliwa zote sema kwenye kuripoti utachagua moja wewe mwenyeweHivi ikitokea umefanya oral kwa post 2 tofauti za taasisi moja na ukafaulu kote kwenye placement wanakuchagua post zote uchague mwenyewe au unapangwa post moja
Zote mbili nimeona kwa mdau wangu mmoja alipangiwa zote 2, akachagua yenye mrija mtamu zaidi[emoji3]Hivi ikitokea umefanya oral kwa post 2 tofauti za taasisi moja na ukafaulu kote kwenye placement wanakuchagua post zote uchague mwenyewe au unapangwa post moja
Ooh kumbe ndo wanafanyaga hivyoZote mbili nimeona kwa mdau wangu mmoja alipangiwa zote 2, akachagua yenye mrija mtamu zaidi[emoji3]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo kwenye kuripoti unachukua barua zote mbili PSRS halafu kuripoti unapeleka zote au unapeleka mojaUnachaguliwa zote sema kwenye kuripoti utachagua moja wewe mwenyewe