Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hello jamani hivi ukiingia interview ya oral ukifik mle ndni unakaa kwenye kiti na unasalimia au untakiwa uambiwe kwnz then ndio ukae na waanze kukusalimia wao....na je swli la kwnza la explain about your self unaelezea mambo gani

Kikawaida unawasalimia kwanza, sa nyingine watanza kukusalimia wao ukiingia tu na kukuambia karibu ukae, wewe unaseama asante hivyo...hakuna formula cha muhimu ni kusoma mazingira chap chap na kufanya maamuzi sahihi

usiwaogope, ni binadamu, cha muhimu jiandae kwa kujua mambo muhimu ya hiyo taaisisi na vitu vya muhimu kwa kada yako

explain about yourself wanaeza kukuelekeza vya kusema kama wasipokuelekeza

1. jitambulishe majina yako
2. kada yako kama ni mchumi, ni mhandisi, nk
3. elimu yako kuanzia primary, secondary, chuo
4. uzoefu wako kama kuna kazi uliwahi fanya na linganisha uzoefu wako na zile job descrpition mfano kama job descrpition mojawapo ni kuandaa ripoti za matumizi bas utasema niliwahi fanya kazi ya field chuo nilikua nasaidia/nandaa ripoti, pia baada ya kumaliza chuo nilifanya internship nilifanya kazi ...unazitaja....zinazoendana na mahitaji ya kazi hii kwa hio naamini uzoefu wangu huu utanifanya kuwa chaguo bora kabisa la hii kazi

kisha unaeza kuongezea hobby zako ambazo zinakupa ubora zaid mfano hobby yako ni kusoma vitabu basi unaeza toa mfano kuwa ulisoma kitabu flani kuhusu kitu flani kikusaidia kuwa bora au unapenda kujiendeleza kwa kusoma majarida yanayohusu kada yako nk

5. KUMBUKA YOTE HAYO NI KWA LUGHA YA KIINGEREZA. (unless otherwise) Kwa hio inabid ufanye mazoezi kama lugha hiyo sio lugh mama!

6. Omba sana, fanya yako mengine muachie Mungu.
kuwa na imani kama ipo ipo tu!
 
Hivi Kwa kiswahili.awaruhusu mtu kujibia.interview?Si nilisikia kuwa kiswahili kitaanza.tumika huko PSRS.
 
Unapoenda sehemu ukamkuta mtu wewe ndiye unayeanza kusalimia kwahiyo ukifika pale kabla hujakaa salimia then wenyewe watakukaribisha ukae ndo wataendelea kukukanda kwa maswali ya uvuguvugu na mitetemo ya radi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Kwa kiswahili.awaruhusu mtu kujibia.interview?Si nilisikia kuwa kiswahili kitaanza.tumika huko PSRS.
Hii nchi ina siasa nying ndugu, wanahimiza kupiga promo Kiswahili na kuponda lugha ya mataifa(Kingereza) lkn ndio inayotumika huko ili mchujo uwe mkali🤣🤣

Kwa kifupi ni kwamba hawaruhusu, ni bora uongee Kingereza kibovu watakuelewa kuliko kuomba kuongea lugha yetu adhimu ya Kiswahili😄😄😄
 
Yani ukishaomba tu kuiongea ujue wamekukanda
 
Ikawa asubuhi ,ikawa mchana na sasa ni jioni ngoma ni bila bila hata kapdf kamoja[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Na bado mwanzo wa weekend[emoji3][emoji3][emoji3]

Tuelekeze masikio Qatar tu
 
Back
Top Bottom