Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 482
- 1,076
Mechi imeisha sasa tusubirie pdfMpaka mech ya Qatar na Ecuador iishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi imeisha sasa tusubirie pdfMpaka mech ya Qatar na Ecuador iishe
😂😂😂😂😂 Volunteer tu kajenga acha kabisaNa hamsemi, watu wasiri sana[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂 Jobless unawadhalau Qatar hahhhIla hawa Qatar hata tukicheza nao taifa Stars hawatufungi kabisa
Flash ya pdf imepotea😂Mechi imeisha sasa tusubirie pdf
Hakuna timu hawa jamaaa zangu hata mie napata namba pale😂😂😂😂 Jobless unawadhalau Qatar hahhh
Wale wangenipa hata winger ya kulia niwasaidie😂😂😂Hakuna timu hawa jamaaa zangu hata mie napata namba pale
NB:SEMA wanashangilia kama wameshinda wakishinda si itakua balaa
Mie nikae hapo anapokaga chama nikichafue 🤣🤣 hawa equador wangekula tobo hadi washangae huyu mwarabu Gani mweusi hivi kumbe jobless nipo dimba la kati nakichafua hatari kama nimekutana na pepa ya psrsWa
Wale wangenipa hata winger ya kulia niwasaidie😂😂😂
😂😂😂😂Hahhhh hapo unakichafua huku ukikumbuka machungu ya psrsMie nikae hapo anapokaga chama nikichafue 🤣🤣 hawa equador wangekula tobo hadi washangae huyu mwarabu Gani mweusi hivi kumbe jobless nipo dimba la kati nakichafua hatari kama nimekutana na pepa ya psrs
Draw hiyo mechi mkuu beki mwamnyeto🤣🤣VIWANGO VYA FIFA TANZANIA YA 130 QATAR YA 50.....JIULIZE TANZANIA IKICHEZA NA ECUADOR ITAKUAJE
Naona watu wanaidharau qatar wakati kisoka wametuzid sanaDraw hiyo mechi mkuu beki mwamnyeto🤣🤣
😂😂😂😂Sio kwa mpira waleo aseehNaona watu wanaidharau qatar wakati kisoka wametuzid sana
Kwa mpira ule hahahaha kikosi chetu Cha form 4 2013 Qatar hapati hata Kona 🤣🤣Naona watu wanaidharau qatar wakati kisoka wametuzid sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi unautendea haki mzee wakupe ajira sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
Halafu unaweza kuamua na wewe ukavolunteer na ukakosa hiyo package[emoji3][emoji3][emoji3].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Volunteer tu kajenga acha kabisa
Joblesa naona unachezea sharubu za jobless[emoji1787][emoji1787]Flash ya pdf imepotea[emoji23]
Niliomba kuvolunteer hata sikupigiwa simu huu mwaka watatu😂😂😂Halafu unaweza kuamua na wewe ukavolunteer na ukakosa hiyo package[emoji3][emoji3][emoji3].
Kila mtu na bahati yake
Sehem zinawenyw hzo pasipo kujuana na mtu hapo hupati aisee ,,hutabaki unasikilizia kweny Bomba aiseeNiliomba kuvolunteer hata sikupigiwa simu huu mwaka watatu😂😂😂
Kweli kabisaSehem zinawenyw hzo pasipo kujuana na mtu hapo hupati aisee ,,hutabaki unasikilizia kweny Bomba aisee