Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizia na zile za UDSM non academic posts mbona kimya?Nimepata tarifa nyeti sana next mkeka na call for interview TRA acha nianze kusoma sana nimeambiwa mkando wake Sio wa kawaida ni balaaa tupu.
Hakuna namna mkuuKumekucha Jobless, hakuna weekend kwa jobless, tuendelee kujichanganya vijiweni
ameenPole Kwa Pepa mkuu. Kufeli mpaka matokeo yasemehe hivyo mkuu tuombe mungu awe upande wako
muda tofautiWameruhusu kufanya pepa mbili au zilikuwa muda tofauti?
hahaaa ndioo mkuuMkuu vp,,, tulikuwa wote pale Theatre 1&3 Leo..?
Mwenyewe nazisubiria zileUlizia na zile za UDSM non academic posts mbona kimya?
Nyie mliambiwa tokeo linatoka lini Mkuu..?hahaaa ndioo mkuu
[emoji23][emoji23] maombi sioJobless mlio church mtukumbuke kwenye maombi
Ilikua straight oral hamna mambo mengi
Muhimu kaka[emoji23][emoji23] maombi sio
Mtaalam Wa Kutembea Na Flash Ya Pdf Hana Weekend Labda Asahau Pc Yake.Ohy wakuu,, mbona Ajira portal ukitaka kulogin inazingua.. au kwangu tu..?
Ukiingia pia kwenye my application, wamefuta Kila kitu...Ohy wakuu,, mbona Ajira portal ukitaka kulogin inazingua.. au kwangu tu..?
Wanaweka matokeoUkiingia pia kwenye my application, wamefuta Kila kitu...
Hapo sawa kaka...Wanaweka matokeo
Unatafuta matusi ya bure tuu...Nauli ya ndege hadi Dom bei gani[emoji23][emoji23]