Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh! Sawa mkuu, kwa usawa huu itabidi bajeti ya kufanya usaili ibaki ya kwenda Dodoma mara moja, zoezi liendelee mwakani Mungu akipenda, hata kama akiitwa zaidi ya mara moja, nitamwambia aangalie anayoamini ana uhakika zaidi.

Ndugu zangu hizi gharama za nenda rudi Dodoma sio za mchezo.
Hapana mzee kama una uwezo mpe nauli zote akafanye ,ajaribu bahati yake lakini nakazia wakati anajiandaa na hizi Pepa afete miongozo itamsaidia
 
Nashauri hilo alifanye endapo ameitwa post kadhaa halafu muda wa written ukawa mmoja.

Asidharau post yeyote atakayoitwa hata kama inataka mtu 1.

Mimi niliikatia tamaa NAOT ila ndio ilinifikisha Oral. Na nyinyi humu mlinisihi nisikate tamaa, nikawasikiliza

Dah! Asante sana Mkuu. Kupitia kunikumbusha hili, nitarudisha mawazo nyuma.
 
Back
Top Bottom