Hapana mzee kama una uwezo mpe nauli zote akafanye ,ajaribu bahati yake lakini nakazia wakati anajiandaa na hizi Pepa afete miongozo itamsaidiaDuh! Sawa mkuu, kwa usawa huu itabidi bajeti ya kufanya usaili ibaki ya kwenda Dodoma mara moja, zoezi liendelee mwakani Mungu akipenda, hata kama akiitwa zaidi ya mara moja, nitamwambia aangalie anayoamini ana uhakika zaidi.
Ndugu zangu hizi gharama za nenda rudi Dodoma sio za mchezo.