Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa jamaa wa utumishi inakuwaje kwenye placement wanaweka na namba za mtu si wanataka jamaa asumbuliwe bila sababu
IMG_20221206_210710_694.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]

LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hongera sana Balozi limited hakika umepambana sana coz sio rahisi kuingia oral 2 ndani ya wiki moja. Naamini kabisa kati ya hizo sehemu mbili there is one God has set a seat for you. Wishing you nothing but best wishes for the coming Asa oral interview brother
 
Kwa uzoefu waweza share nasi uzoefu wa oral session unakuwaje. Na interview ya TARI ulikuwaje na maswali gani uliulizwa
 
Hongera sana Balozi limited hakika umepambana sana coz sio rahisi kuingia oral 2 ndani ya wiki moja. Naamini kabisa kati ya hizo sehemu mbili there is one God has set a seat for you. Wishing you nothing but best wishes for the coming Asa oral interview brother
Amina kaka, shukurani Sana

Back
Top Bottom