😂😂😂😂Pale fata wanavyotaka yani ukiwa mjuaji wanamaind kinomaNkumbuka walinambia acha mbwembwe just mention daah😀😀 ukiangalia kma majibu yako yanahitaji nyama ili ueleweke vizur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Pale fata wanavyotaka yani ukiwa mjuaji wanamaind kinomaNkumbuka walinambia acha mbwembwe just mention daah😀😀 ukiangalia kma majibu yako yanahitaji nyama ili ueleweke vizur
Kweli inabid uwe mpole tuu kwa kweli😂😂😂😂Pale fata wanavyotaka yani ukiwa mjuaji wanamaind kinoma
Mistake tu ilitokea kwenye kuweka details wakacopy na namba ya simuHawa jamaa wa utumishi inakuwaje kwenye placement wanaweka na namba za mtu si wanataka jamaa asumbuliwe bila sababu View attachment 2438114
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
True kabisa na wao ni binadamu pia
Yes kweli kabisa yani pale hutakiwi kuwa mjuaji inatakiwa uwe humble sana
Hongera sana Balozi limited hakika umepambana sana coz sio rahisi kuingia oral 2 ndani ya wiki moja. Naamini kabisa kati ya hizo sehemu mbili there is one God has set a seat for you. Wishing you nothing but best wishes for the coming Asa oral interview brotherNimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]
LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwa uzoefu waweza share nasi uzoefu wa oral session unakuwaje. Na interview ya TARI ulikuwaje na maswali gani uliulizwaNimetoka oral ya TARI research ECONOMIST II, HAWA JAMAA WANAKAZA DUUH GOD BLESS US.
week hii nilikuwa na Salli 3, written nimekandwa 1 ya ASA marketing officer II, na nimeingia oral 2 ya TARI research assistant economist NA ASA PIA ECONOMIST II,
Nilifanya jumamosi ya TARI na jumapili nilifanya saili 2. Ambapo moja ilikuwa asubuhi na nyingine mchana.
Nilichojifunza kwa written nilizofaulu hizo 2, ya TARI NA ASA ECONOMIST, Hawa jamaa hawataki bla bla nyingi go to the straight briefly explain
Marketing nilielezea sana wakanikanda lkn hizo zingine nilielezea kiasi nimewakanda pia,
Hapa kesho kutwa Nina oral ya ASA ECONOMIST II, TUPO 7 NAFASI 2 [emoji1787]
LKN NIMEJIFUNZA KUWAKANDA HAWA JAMAA KUPITIA HILI JUKWAA.
NAOMBENI TIPS ZA WRITTEN ZA ECONOMIST TWO NIKAWAKANDEE KESHOKUTWA. [emoji3]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Amina kaka, shukurani SanaHongera sana Balozi limited hakika umepambana sana coz sio rahisi kuingia oral 2 ndani ya wiki moja. Naamini kabisa kati ya hizo sehemu mbili there is one God has set a seat for you. Wishing you nothing but best wishes for the coming Asa oral interview brother
Nitashare haina shida zote kwa pamoja,Kwa uzoefu waweza share nasi uzoefu wa oral session unakuwaje. Na interview ya TARI ulikuwaje na maswali gani uliulizwa
Mistake tuHawa jamaa wa utumishi inakuwaje kwenye placement wanaweka na namba za mtu si wanataka jamaa asumbuliwe bila sababu View attachment 2438114
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Waachie tu hizo placement jobless tunazisbria sana kitaaa pamoto mnoooNaskia harufu ya Placement Leo!
Jobless anataka kuona yupo au hayupo [emoji846]Waachie tu hizo placement jobless tunazisbria sana kitaaa pamoto mnooo
Ulifanya usaili mwezi wa ngapiNaskia harufu ya Placement Leo!
Yawezekana na waachie tu kwa kweliNaskia harufu ya Placement Leo!