Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
HuendaAmeshaenda kazini kwake labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HuendaAmeshaenda kazini kwake labda
😂😂😂Kaenda kuitafuta Subaru sasaHuenda
Atufanyie fujo mtaani😂😂😂Kaenda kuitafuta Subaru sasa
😂😂😂😂anaandika kwenye plate numberAtufanyie fujo mtaani
Hilo kweli Ahmet hata ukiwa umeharibu ukimaliza ,,watatumia maneno mazuri ya kukuonesha umefanya vzr ,Kama vileHata ukiboronga wata kupa moyo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann wizy ww unajua panel ngap wanakuchana pale pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]panel nyingi huwa wanakuchana pale pale mzee labda ukute post ambazo sio potential sana
😂😂😂😂😂Hahhhh nyie hamjawahi kukutana na panel za Moto hasa taasisi zenye pesa ndefuHilo kweli Ahmet hata ukiwa umeharibu ukimaliza ,,watatumia maneno mazuri ya kukuonesha umefanya vzr ,Kama vile
" "thatnk u for u good presentation,and ur time, we hope to see u joining in our team ""
Kumbe wenyewe ndio wanajua ukweli,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatà wasipokupa comments Kama umepiga vzr ,unakuwa na Matumain na wasiwas wa placement,Maana haujui wengne walifanyeje
Huwa anatoa ata usipomuuliza?Hiyo ndo comment sasa nnayo iongelea kuna kuaga na mmoja mtoa comment😂😂😂😂
Nawaombea siku muende panel ambazo sio za TA halafu mtakuja kuleta Mrejesho😂😂😂😂😂na hasa zile post za mtu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann wizy ww unajua panel ngap wanakuchana pale pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa me pale IAE walisema umepresent vizuri
Je uliuza wakup comment au walitoa tu?Ingawa me pale IAE walisema umepresent vizuri
Wanatoa wenyewe ndio lakini sio lazima mzee ,wwakati mwingine sio comment ni hata anaweza kukwambia uwaulize swali au useme chochote ,ambayo unakuta wenzio wote hawakuambiwa hivyoHuwa anatoa ata usipomuuliza?
Huwa Wanatoa wenyewe kiongozi lakini sio lazima inategemeana na panelJe uliuza wakup comment au walitoa tu?
Itakua IAE wamemkanda maana alikua anawasubiri piaAmeshaenda kazini kwake labda
Atakuwa kaenda Veta kama wamempigia simuItakua IAE wamemkanda maana alikua anawasubiri pia
Kwamba ata cm kanyang'anywa kama mwanafunzi? Angeeema tu kama kaenda kuripoti bila shaka smart kauza alipe kodi maana alosema hapa mwenye nyumba anataka kodi😂😂Atakuwa kaenda Veta kama wamempigia simu
Ukishapata kazi unakuwa mvivu kutembelea humu😂😂Kwamba ata cm kanyang'anywa kama mwanafunzi? Angeeema tu kama kaenda kuripoti bila shaka smart kauza alipe kodi maana alosema hapa mwenye nyumba anataka kodi😂😂
😂😂 ni kweliUkishapata kazi unakuwa mvivu kutembelea humu😂😂
Kuanzia watanoKwenye oral interview, panel inakuwa na wakandaji wangapi jaman?
Huo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nililala kwenye meza