Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hata ukiboronga wata kupa moyo tu
Hilo kweli Ahmet hata ukiwa umeharibu ukimaliza ,,watatumia maneno mazuri ya kukuonesha umefanya vzr ,Kama vile
" "thatnk u for u good presentation,and ur time, we hope to see u joining in our team ""
Kumbe wenyewe ndio wanajua ukweli,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatà wasipokupa comments Kama umepiga vzr ,unakuwa na Matumain na wasiwas wa placement,Maana haujui wengne walifanyeje
 
😂😂😂😂😂Hahhhh nyie hamjawahi kukutana na panel za Moto hasa taasisi zenye pesa ndefu
Wanaweza kukwambia "we are not considering your answers only ,even your seriousness matter "sasa hapo usubilie pdf kweli???
 
Back
Top Bottom