baraka mas
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 139
- 471
Placement vp tunateseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oral ulifanya mwezi Gani?Placement vp tunateseka
hata mwanaume sinatakiwa kutoa utamu kwa wife[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utumishi wamekukanda mpaka ukakumbuka avatar yako hahhhh
uchovu wakukesha,jua kaliii,njaa,alafu tangu tumefika saa 12 nikaingia saa 11,unakaa hadi unachokaHuo ujasiri wa kulala wkt una usaili wa kuongea ulipata wapi?.
kama sisi tu,alafu walikuwa hawana haraka yaniTuliandikishwa na kunyang'anywa simu saa 1 asubuhi, tulikuja kuanza kuitwa saa 6 mchana
Mulikua watu wangapi ?kama sisi tu,alafu walikuwa hawana haraka yani
Kazi ushapata mama zama zenu hizi wanamamauchovu wakukesha,jua kaliii,njaa,alafu tangu tumefika saa 12 nikaingia saa 11,unakaa hadi unachoka
Oral ulifanya mwezi Gani?
Kubadilika kivipi status zina maana sema kuielewa ngumu sanawangapi status zimebadilika?!!
Achaneni na mambo status watu mna vichwa vigumu aisee 🙌. Mnatafuta stress kwa hali na mali wewe ukimaliza Oral achana na mambo ya STATUSwangapi status zimebadilika?!!
Status ilikua selected for oral kwa muda mrefu sana now imebadilika imekua shortilistedKubadilika kivipi status zina maana sema kuielewa ngumu sana
Kichwa cha jobless mpaka ukibustAchaneni na mambo status watu mna vichwa vigumu aisee 🙌. Mnatafuta stress kwa hali na mali wewe ukimaliza Oral achana na mambo ya STATUS
Sawahata mwanaume sinatakiwa kutoa utamu kwa wife
Pale huchoki tu bali unapauka na kufubaa tilalilaaKwanza kusubirishwa tu pale nje ni interview nyingine aseeeh unakaa mpka unachoka
Hakuna shaka umeshatoboa tayar wwartisan rough neck
Wengine ilikua shorlisted ikaweka na namba ya usaili na sehemu ya usahili ilana selected for oral ikaja shortlisted imerudi tena selected for oral leo kama siku ya 5Status ilikua selected for oral kwa muda mrefu sana now imebadilika imekua shortilisted
Haina maana yoyote ingekua na maana ungeshaelewa. Ukifika Oral Interview sahau status subiri PDFNa ukifuata status utakua Kichaa zina maana ila kuelewa ngumu
Ukipata kazi uwa inabadilika na kuwa selected for pratical na sio shortlisted...Status ilikua selected for oral kwa muda mrefu sana now imebadilika imekua shortilisted