rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
😀 😀 😀nilifanya pepa moja mengine kama NAOT sikwenda aiseeePlacement hii ya jana hujabahatika mkuu? au hukufanya oral
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀nilifanya pepa moja mengine kama NAOT sikwenda aiseeePlacement hii ya jana hujabahatika mkuu? au hukufanya oral
Mkuu hata sielewi. Ila itakuwa kuna sehemu nilikichanganya chuo.Ila haujajibu swali langu
Kuna madereva wa tra wataaenda kukandwa hivi karibuni ,katika interview matata moja wapo ni za udereva ,kukandwa kupo pale pale haijalishi dereva mkongwe au siyo mkongwe .Aisee hii kitu inaumiza, unakuta ni watu ulikuwa unajiandaa nao na wengine unawaona kabisa hawakuwa serious lakini ndio hivyo wamepita na wewe umebaki.
Muda wako utafika Mkuu, endelea na mapambano.
Sawa mkuu😀 😀 😀nilifanya pepa moja mengine kama NAOT sikwenda aiseee
waendelee tu kuangalia GPA mana wengine ndo zinazotubeba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiv Ile hbr ya waziri wa elimu prof. Mkenda kusema ajira za wakufunzi vyuoni hawataangalia GPA ,tu hvyo lazima mtu apimwe uwezo wake kweny presentation na Q&A ,
Hizi ajira zitakuwa hata wenye GPA ya lower class atapata nafasi as long as anao uwezo ,,sjaelewa???
Nadhani alikua anamaana kwamba hawachukuliwi kwa GPA tu kama zamani wanapitia mikando yote miwili. Hivyo, GPA ni criteria ya kwanza ya kuchuja na itaendelea kubaki pale pale.Hiv Ile hbr ya waziri wa elimu prof. Mkenda kusema ajira za wakufunzi vyuoni hawataangalia GPA ,tu hvyo lazima mtu apimwe uwezo wake kweny presentation na Q&A ,
Hizi ajira zitakuwa hata wenye GPA ya lower class atapata nafasi as long as anao uwezo ,,sjaelewa???
Hongera sana.....Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Hakuwepo AdemADEM alifanya oral post ipi?
Kwa sababu ana shida kama yangu, ngoja nimsaidie kujibu.huko secondary walimu huwa ni wazembe sana mfano mtoto anaitwa Samia Suluhu Hangaya.wao wanamsajili kama samia s hangaya,necta nao wanapelekewa same data,so ukifika chuo watadai cheti chako cha kuzaliwa na data zako watazozitumia kuandaa cheti chako na transcript ni za kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulicho cha nida..Anyway mimi nashukuru utumushi hawajawahi kunizuia kufanya paper coz ya huo mkanganyiko.Ila haujajibu swali langu
Asante mkuuHongera sana.....
Hongera sanaa mkuu....Kila la kheri kwakoAlhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Wakuu habari za Asubuhi.
Poleni na majukumu ya ujobless.
Naomba kuuliza kama kuna tatizo kwenye mpangilio huu wa majina kwenye vyeti vyangu.
Cheti cha O-Level na A- level, jina la kati imeandikwa herufi tuu.
Mfano
Genuine A George
Huku cheti cha kuzaliwa na cheti cha Chuo
Wameandika
Genuine Alive George.
Naombeni nijue kama itahitaji niende mahakamani au viko sawa havina shida.
Fuata maelekezo ya ofisi ya utumishi, hicho pia ni kigezo cha mchujo.Wakuu kwema naomba kuuliza mimi nimeitwa kwenye written examination ya tarehe 18 ila nimepangiwa mbeya wakati kwa sasa nipo Mwanza hivi hamna namna naweza fanya ili nifanyie kituo cha Mwanza huku huku
Kuna madereva wa tra wataaenda kukandwa hivi karibuni ,katika interview matata moja wapo ni za udereva ,kukandwa kupo pale pale haijalishi dereva mkongwe au siyo mkongwe .
Kunaenda kufanyika written sehem mbalimbali mikoani ,ikiwemo dar ,dom,mbeya mwanza na hata Zanzibar ,baada ya pale wote wanakutana dar kwa ajiri ya kukandwa kwenye test
Nachotaka kusema ,kama haujawahi kufanya test yoyote pale veta Chang'ombe umakini unahitajika sana.
Gari zao zimechokonolewa sana,kuna hiyo tata ya wanafunzi huwa inatumika kwa test. Gia liva yake ilisha chokonolewa ,gia ni za kutafuta,pili hiyo gari haihitaji mwendo sana,tembea 40-50km/h .Ukizidisha hapo gari inaanza kuyumba.
Kuna leyland pale na kuna scania 94 ,hizi zote hutumika ,pale hupewi land cruiser.hivyo umakini unahitajika likija zoezi la test .
Wengi huwa zinawashinda ,hasa hiyo Tata ni ya kuiangalia sana,bora uende kwenye 94 ila pia leyland sishauri labda kama ulishaendesha hapo awali.Ni hayo tu wazee wa kukandwa
Eeeeh jaman nmecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aiyah banaAsante sana Prok nilitoa ahadi yangu kwako siku nikitoboa nitafika mjinj PM tuyajenge
Njoo nikuandalie affidavit chaap, halafu husirudi humu kushuhudia Prok ni nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, habari ni njema. Naamini zitakuwepo shuhuda za ambao hawajawahi kuzuiliwa na ambao wamewahi kuzuiliwa.
Kwanini ufanye bahati nasibu kwa ajira zenyewe hizi zisizotabirika saa wala dakika ya kuzipata?
Hebu tafuta affidavit ili ufanye maandalizi kwa kujiamini na hata muda wa ukaguzi wanaokagua wakose sababu ya kukukwamisha.
Sister unatumia ajira portal app?![]()
Alieomba group la TAX MANAGEMENT hilo hapo