Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Kabisa dada, acha nirudi homeUsiquestion baraka za Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa dada, acha nirudi homeUsiquestion baraka za Mungu.
Sali sanaSijui kama Kuna taarifa imekosewa au ipo sahihi. Ni fikra mbaya tu Huwa zinakuja
shukran tamuuuPole jamaani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]imani na wewe sinaUsife matumaini, kila kitu kiko under control.
hahahaa fahamu zilirudi ukiwa unakabiziwa vyeti na kuonyeshwa mlango wakutokea,,hapo nimejikuta nacheka kwa sauti!!mimi mmoja aliniuliza kama niko comfortableKuwa strong sio wew tu hio hali maana wengine tulivyoingia tu kwenye panel tukapoteza fahamu nakuja kuzinduka nakabidhiwa vyeti na kuelekezwa pa kupitia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn nina bonge la tumaini kwenye pdf na huenda ukawa unahofia na wenzio hivohivo hawaelewi wamefanya nn, jipe moyo na aamini huku ukielekeza maombi na kusonga mbele kwa kila fursa ijayo. Siku yetu ikifika haipingwi hata ujibuje. When God say Yes no body can say No!
#Waiting for miracles
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
tulia broo,usizibe na riziki za wengineNdio, ila natamani nikafanye tu
Hongera mkuu,ushapa kupitia kulekule?Yaani kazi nishapata
usiwajiwazie mabaya ahmet,me naimani january unakabiziwa ofisi yako nakuanza kuchapa kaziSijui kama Kuna taarifa imekosewa au ipo sahihi. Ni fikra mbaya tu Huwa zinakuja
Sijui wengine tutesekeje ambao hatujapata placement na hatujui kama tumetusua au la.Kuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.
Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.
Basi nateseka sanaa[emoji19]
nusu nusu,alafu shikamoo ya niniUsijali,vip lakini matumaini yapo.
Halafu shkamoo
Asante moneytalkusiwajiwazie mabaya ahmet,me naimani january unakabiziwa ofisi yako nakuanza kuchapa kazi
Siendi basitulia broo,usizibe na riziki za wengine
jaman pole mwaya kama nimekukwazaSiendi basi
Ndio wanakagua vyeti....hasa cha o level lazima wawasiliane na nectaKwaiyo hapo wanakagua vyeti au, maana wamescan na tumeacha copy
Acha nipange na bajeti ya matumizi kabisaSijui wengine tutesekeje mbao hatujapata placement na hatujui kama tumetusua au la.
Wewe ambaye umebakisha hatua ya kuitwa, uko kwenye tension.
Wewe relax na chora ramani ya kuila Asali, tensio tuachie sisi
Hapana, hata sijakwazika, ila wewe ni mdada😂😂jaman pole mwaya kama nimekukwaza
Taasisi yoyote ya serikali unapoenda kuanza kazi lazima ujaze medical formKwaiyo Hadi ngwengwe tutapima??
Ahaaa sawa ndugu, hapa kusubiri tuNdio wanakagua vyeti....hasa cha o level lazima wawasiliane na necta