Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

IMG_20221214_112659_886.jpg
 
Kuwa strong sio wew tu hio hali maana wengine tulivyoingia tu kwenye panel tukapoteza fahamu nakuja kuzinduka nakabidhiwa vyeti na kuelekezwa pa kupitia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn nina bonge la tumaini kwenye pdf na huenda ukawa unahofia na wenzio hivohivo hawaelewi wamefanya nn, jipe moyo na aamini huku ukielekeza maombi na kusonga mbele kwa kila fursa ijayo. Siku yetu ikifika haipingwi hata ujibuje. When God say Yes no body can say No!


#Waiting for miracles

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
hahahaa fahamu zilirudi ukiwa unakabiziwa vyeti na kuonyeshwa mlango wakutokea,,hapo nimejikuta nacheka kwa sauti!!mimi mmoja aliniuliza kama niko comfortable
 
Kuna hali inanitesa sana, hasa kwenye situation kama hii ya kusubiri kitu muhimu. Kuna bad thoughts Huwa zinakuja kichwani kwangu. Nahisi kama taarifa zangu zitapotea, au labda kuna taarifa zimekosewa kujazwa.

Katika psychology hii disorder inaitwa OCD. Najaribu kujitoa katika mawazo hayo lakini bado hayo mawazo huja kichwani.

Basi nateseka sanaa[emoji19]
Sijui wengine tutesekeje ambao hatujapata placement na hatujui kama tumetusua au la.

Wewe ambaye umebakisha hatua ya kuitwa, uko kwenye tension.

Wewe relax na chora ramani ya kuila Asali, tension tuachie sisi
 
Back
Top Bottom