Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kanuni hii hapa(24).

Uzito wa kanuni hii ni "kutoripoti bila sababu"

Sasa mimi namshauri aende PSRS akiwa na nyaraka zake zote na awe na hiyo PDF ya placement, akawaeleze hii shida yake, ajitahidi kuwaeleza namna ambavyo hakuweza kuipata barua kwa wakati kupitia anwani aliyoiandika.

Endapo watamuelewa, watamjuza kama nafasi yake ishajazwa au la. Kama imejazwa, automatically hii kanuni ya 24 itamhusu.

Kama ataangukia kwenye hii kanuni, akawaombe wampe nafasi ya kuendelea kuomba kazi zingine zitakazoendelea kutangazwa.

Pia ajaribu kuwaomba kuhusu kukaa database ingawa muda wake ulishaisha.

Kila la kheri kwake.View attachment 2455292
Mkuu naona unatumia Facts kukiko opinions.

Kila angle unayogusa unajaribu kui match na sheria zinavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakii silijui, yaan majukwaa ambayo nmeyatembelea tangu nijiunge jf tofauti na hili ni jukwaa la ujenzi na makazi, biashara na lile la jamii intelligence huku na kwenyewe nliacha maana wanapenda kukandamiza dini yaan topics nyingi ni dini za watu. Nkaona nisije kumkufuru Mungu bure[emoji23]. Ila huku kwenye ajira lazima niingie kila siku, nisipoingia ujue maji yamenifika shingon niko hoi
 
Back
Top Bottom