Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mkuu mbn uzi zipo kibao kwann umerudi humu tena kwa Kasi.... Usituchukuliie cc watoto wadogo..
Kukandwa n sehem ya maisha.
wewe ni WIZZY.

Amna humu ndan mweny mambo ya Status zaid yako.
Na tulishayapotezeea.
Status hazina uhusiano n Placement.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]afu kwel kakomalia kwel ishu ya status ni yeye
 
Iii issue ni simple sana niliitaji kumjua mtu niliefananishwa nae. Nili comment makusudi tu. Nimepitia comment zake nyingi mpaka nikagundua kuwa issue ya status ni simple sana.
kwa research yangu status za web zinachange sana sidhani kama zina effect kwenye kutokea jina la mtu kwenye pdf isipokuwa only pale utapo andikiwa not shortlisted.
base na app coz inaonesha waliopata kazi 99% wana selected for null, coz sijaona case kwenye comment zake wizy mtu kawa not selected for null kapata kazi, pia ukiwa selected for null manake na hisi umefanya oral fresh sio gurantee ya ww kupata kazi. So kikubwa after oral play upate kwenye app selected for null, the rest mwachie mungu.
Sawa legend wizy
 
Sawa legend wizy
Uuu uzii utanitoa damu maana kila mtu anani attack as if mm ni wizy og. Kaka mzoefu wa jf nimetafuta sehemu y kufuta account au ku change id sis wageni tunapata tabu sanaa kuijua jf. Embu nipe maelekezo nifanye maamuz sahihi.
 
Njoo PM tuendelee tulipoishia,si wakumbuka?[emoji16]
 
Uuu uzii utanitoa damu maana kila mtu anani attack as if mm ni wizy og. Kaka mzoefu wa jf nimetafuta sehemu y kufuta account au ku change id sis wageni tunapata tabu sanaa kuijua jf. Embu nipe maelekezo nifanye maamuz sahihi.

Bora ungekaa kimya, wenye busara wangekuelewa. Hapo ndio unazidi kuaminisha watu kuwa ww ndie muhusika uliekimbia uzi baada ya kupata/kukosa asali.

Btw: siku ulioacha kutumia id ya wizy ndio hii id ya Wkingz ikaanza kuwa hewan kwenye hii thread.

Wizy = Wkingz
 
Back
Top Bottom