meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Simple tu kujua Mtu wa IT aliyepelekwa katika kila mkoa ni Mmoja tu naOk mkuu tuishi umo, japo kutaja mkoa haitakufanya ujulikane maana mkoa una veta nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple tu kujua Mtu wa IT aliyepelekwa katika kila mkoa ni Mmoja tu naOk mkuu tuishi umo, japo kutaja mkoa haitakufanya ujulikane maana mkoa una veta nyingi
Hahahah afu yako tu uko unakoend wapo IT wengine piaSimple tu kujua Mtu wa IT aliyepelekwa katika kila mkoa ni Mmoja tu na
Halafu Kuna Kila ulazima wa Kuwepo na Kanda ya Kusini Mashabiki ambayo ni Mtwara.. Mtr to Dar ni mbali sana.. hii itawasaidia watu wa Lindi na Mtwara kwa ujumla.Hata kanda ya kusini pia makao makuu ni Mtwara lkn wamepangiwa Dar.
Sitajibu Tena comment za hivi mie naenda wao wapo Sasa Mtu anashindwa kujua Fulani ndo Mtu mpya anakuja Kwa heri mkuuuHahahah afu yako tu uko unakoend wapo IT wengine pia
Ok tuachane na hiyo
Sasa kasomee certificate ya manners ndo umeikosa hapo.Nna Degree ya ECONOMICS, CPA (T) na Msc in finance
Hongera sana kijana wangu,,,you deserve umepambana sana hapa nakuombea mema mno,,,,Sitajibu Tena comment za hivi mie naenda wao wapo Sasa Mtu anashindwa kujua Fulani ndo Mtu mpya anakuja Kwa heri mkuuu
Hongera sana bro, Mungu akusimamie katika kazi zako. Always Mungu ni mwema[emoji1431][emoji4]Furaha ya Leo ni Zaid ya siku nimeona placement guess what hahahahaha tukutane mwisho wa mwezi Benki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Prok lala basi, kesho utachelewa Kwenda jobHongera sana bro, Mungu akusimamie katika kazi zako. Always Mungu ni mwema[emoji1431][emoji4]
Daah acha tu, sina usingizi kabisa ndo kwanza nipo nacheck movie hapa na haijafika ata katikati [emoji26]Prok lala basi, kesho utachelewa Kwenda job
😳😳 Daah Bora wewe unacheki movie Mimi hapa nabadilisha majukwaa hapa jf😂Daah acha tu, sina usingizi kabisa ndo kwanza nipo nacheck movie hapa na haijafika ata katikati [emoji26]
Nipeni kazi ya kuwalindia jukwaa hili[emoji23][emoji15][emoji15] Daah Bora wewe unacheki movie Mimi hapa nabadilisha majukwaa hapa jf[emoji23]
Ahsante sana mkuu, hilo la kukosa halishindikani pia, mambo hayatabiriki.Mkuu hongera, ningeshangaa sana ungekosa nafasi mwaka huu maana unaonekana uko makini una content.
Hahaa mwifwa na yeye hajalalaNipeni kazi ya kuwalindia jukwaa hili[emoji23]
meck pro haamini macho yake, tena kaoneshwa hadi ujazo wa kikopo cha Asali[emoji3][emoji3][emoji3]Hongera brother mmetuonyesha njia na kututia moyo ,mmetupa imani hakika nyinyi ni mifano ya kuigwa nasisi tuko njiani tunakuja .
Kila la kheri mkawe watumishi wema
Cc @mwifa Ahmet
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]najua hata kwa kijana hovyo rikiboy napo lazima upite[emoji15][emoji15] Daah Bora wewe unacheki movie Mimi hapa nabadilisha majukwaa hapa jf[emoji23]
Ukiweza kumshawishi mzee wa flash atuletee agenda pakipambazuka, utakuwa umeshinda hiyo tendaNipeni kazi ya kuwalindia jukwaa hili[emoji23]
Suti sijui kama umeitupia kwa Baraka Classic, hapa nimemaliza kunyosha nguo za dharura incase hujafanya hivyo[emoji3]Hahaa mwifwa na yeye hajalala
Eeh ngoja niingie kazin[emoji23]Ukiweza kumshawishi mzee wa flash atuletee agenda pakipambazuka, utakuwa umeshinda hiyo tenda