Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kaka, nilizungushwa takriban mwezi mzima, hatimaye nimeipata juzi.
Hongera sana na pole pia kwa usumbufu. Namna hiyo ndivyo tunavyopaswa kupigania haki unayoona inaminywa.

Walikueleza nini siku wanakupatia, kiwa barua waliidisplace kimakosa? au ilipotea kabisa wakaiandaa upya?
 
Nimeipata, ila ilinisumbua kwa mwezi mzima, hata kuripoti kwa mwajiri mimi nimekuwa wa mwisho na naonekana nimechelewa sana kuripoti.
Utamueleza mwajiri hilo sakata, atakuelewa na kukupokea
 
1. Elements za financial statements
2. Wakakupa transactions useme ni debit au credit (transactions sita) a to e
3. Difference btn closing stock na single entry system
4. Differences kati ya Journal na ledger in terms of a)Nature b) Balance c) Recording
Sema Kuna viswali apo vinachanganya..... Uki plus na muda
 
1. Elements za financial statements
2. Wakakupa transactions useme ni debit au credit (transactions sita) a to e
3. Difference btn closing stock na single entry system
4. Differences kati ya Journal na ledger in terms of a)Nature b) Balance c) Recording
Hilo swali la kwanza huenda likachanganya watu sana..lilihitaji kutuliza akili sana
 
Back
Top Bottom