Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Paper ina maswali manne, bado mengine matatu hapo.
Kaka mi nimeamua nikuache ujipe ushindi tuu [emoji1787]

Kuna accounting websites zinazotoa shule quality (na accreditations zinazotambulika duniani) na wana maproffesors wanaoandika content ambazo ni verified .. Eg Acc Coach, Bayju

Yani hakuna website yoyote wanaback up jibu lako (I assume you are better that all the acc experts out there or Tanzania tuna tafsiri yetu ya hiyo IAS[emoji1787])
 
Uzuri majibu yanarudi kwa namba tu katika pdf na kwenye acc zenu. Kila la kheri.
 
Nimefanya reference ya IAS 1.
Ishushe, ukakae palee, uisome uielewe.
Kaka hii mbona imesema wazi kua "complete set of financial statements" ambazo ndo hizo unang'ang'ania

Haijazisema kama "elements" bali "complete set of financial statements"
 
Kukusaidia tu, mtafute jamaa/ndugu/rafiki ambaye ni CPA-T, au amemaliza zile paper za ACCA, muulize hilo swali.

Cha pili, kumaliza bachelor ili uwe mahiri katika field ya account yakupasa uwe unajifunza sana na kwa bidii, hasa hizi standards na application zake, hivo "videsa" ni muongozo tu, unahitaji kuwa mahiri kwa kujifunza kila siku.
 
Sasa kuna standard inayoelezea Elements of financial statements zaidi ya Conceptual Framework
Wacha nikupe shule kidogo,.
✓IAS 1; Presentation of financial statements - inazungumzia elements, content/layout and structure of f/s.

✓IAS 2; Inventory

✓ IAS 16; Proparty, plant and equipment.
Kama muhasib, anza nazo hizo standards, ni muhim sana
 
Huyo jamaa hilo jina la IFRS yafaa aachane nalo na ajiite KILAZA.
 
Hawa jamaa wavivu kujifunza, nimewapa pdf ya IAS 1, waanzie hapo.
Nimekwambia acha kuzunguka

Leta hapa kutoka kwenye PDF hii official ya IAS uquote kama mimi nilivyoquote kwenye PDF ya IFAC

Naomba uelewe "Complete set of financial statement" is not the same na "elements of financial statement"
Screenshot_2023-01-15-00-22-06-119_cn.wps.moffice_eng.jpg
 
Back
Top Bottom