ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
Sure mzee ngoja tusubr zitakazotangazwa mwaka huuHakuna kukata tamaa mkuu mpaka tufike sehemu husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mzee ngoja tusubr zitakazotangazwa mwaka huuHakuna kukata tamaa mkuu mpaka tufike sehemu husika.
Ahsante sana mkuuHongera sana kaka, kila la kheri.
Fear notWakuu hapo matumaini ya kukanda yapo au ndo nimekandwa?View attachment 2488186
Hongera Mkuu, TRA?Ahsante sana mkuu
ulifanya oral lini mku?Wakuu hapo matumaini ya kukanda yapo au ndo nimekandwa?View attachment 2488186
Yani Kila safari ni under pressure ila angalau presha sio kubwa kama ya kusubiri placementBado safari ndefu mkuu, sasa tuko kwenye pressure ya kusubiria waya
7th Dec. 2022.ulifanya oral lini mku?
Pole mzee tusikate tamaa tuendlee kupambana hvy hvy kibishiEga tangu wanile kichwa Sina hamu Tena
sawa. ilichukua muda gani stutus kubadilika hivyo tokea ufanye oral ?7th Dec. 2022.
40+ days after oralsawa. ilichukua muda gani stutus kubadilika hivyo tokea ufanye oral ?
sawa, sisi wengine sahili zetu zilikua na practical bado hakuna changes40+ days after oral
Okay, wacha tuvute subira muda wa mambo hadharani uwadie.sawa, sisi wengine sahili zetu zilikua na practical bado hakuna changes
Hii ni app bila shaka?Wakuu hapo matumaini ya kukanda yapo au ndo nimekandwa?View attachment 2488186
Hiyo kwenye web au app?40+ days after oral
Inasomekaje mkuusawa, sisi wengine sahili zetu zilikua na practical bado hakuna changes
Kwa kifupi umefaulu Oral Interview lakini hujui kwa kiwango gani na wenzio wamefaulu kwa kiwango gani ? Database tayari upo ila kuhusu placement siyo guaranteed.Wakuu hapo matumaini ya kukanda yapo au ndo nimekandwa?View attachment 2488186
Ikoje uko mkuusawa, sisi wengine sahili zetu zilikua na practical bado hakuna changes
select for oral kwenye appIkoje uko mkuu