Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Bila shaka mkuuJanuary hii watakuwa wamemaliza saili zote za mwaka 2022...
Mpaka kufikia wa nne au wa Tano na placements zote zitakuwa tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka mkuuJanuary hii watakuwa wamemaliza saili zote za mwaka 2022...
Mpaka kufikia wa nne au wa Tano na placements zote zitakuwa tayari.
Ungesema post husika inahusu niniMzee wa placements hivi kwa uzoefu wako kuna possibilities za kutoka maswali ya research kwenye post walizochaguliwa watu wa kada moja na sio mchanganyiko?
Guarantee haipo, vigezo na masharti lazima vizingatiwe kwa mujibu wa psrs.Wadau Naomba kuuliza kwa kada zenye saili tatu, hivi situation ya kuingia oral wachache kuliko nafasi zinazohitajika, inaweza kuwa guarantee ya kupata wote mlioingia?.
Haliwezi Tokea Hilo.Kuna post gani yametokea hayo???Wadau Naomba kuuliza kwa kada zenye saili tatu, hivi situation ya kuingia oral wachache kuliko nafasi zinazohitajika, inaweza kuwa guarantee ya kupata wote mlioingia?.
Yani kisa tie nyekundu ukose interview nzima? Hii nchi ina matatizoNilichobishia mimi ni hilo la kusema eti tai nyekundu inapunguza marks ndio nikatolea mfano huyo mdau niliyemuazima tai nyekundu na akafanikiwa kupata nafasi..hilo la kwenda ukiwa smart sijalibishia..
Sema nafasi ni kubwa sana, ukikosa ujue umeharibu vibaya mno!Wadau Naomba kuuliza kwa kada zenye saili tatu, hivi situation ya kuingia oral wachache kuliko nafasi zinazohitajika, inaweza kuwa guarantee ya kupata wote mlioingia?.
Hii scale ya PRSS 1 ni siri sirini. Ilishawahi kuulizwa ni kiasi gani humu jamii forum jibu halikupatikana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au sio kaka unawrza ukaomba TGS D ukashangaa umetupiwa PRSS1[emoji3][emoji3][emoji3]
Humu hamna mlamba asali wa TARIHalafu hii ni scale ya TARI.. sijajua wanakula sh ngapi pale kwa wenye Degree na Diploma.
Jamaa wekeni basi Mishahara hiyo japo bado hatujaingia kwenye mirija(ni Suala la mda tu) mnakuwa wachoyo Hadi kwenye namba[emoji16]
Hivi connection zipo mpaka utumishi ukishafika oral? Kwamba wote mmepiga ila akachukuliwa mtu ambae hakuwepo kabisa au amepiga ila hakukidhi marks zao na kuachwa waliopiga fresh?Hyo ni TARI muulize Huyu jamaa alipata huko TARI niliona mwaka Jana akishukuru humu kuwa kapata kazi bila connection Mpatuka
Mimi sijui mkuu kwa sababu sihusiki kule, Ni muomba Ajira tu za Serikali kama ww, napiga zangu saili na kusepa sina mda wa kufuatilia hvyo vitu. But hyo nimezunguza kulingana na jamaa alivyokasema humu baada ya kupata kazi PSRSHivi connection zipo mpaka utumishi ukishafika oral? Kwamba wote mmepiga ila akachukuliwa mtu ambae hakuwepo kabisa au amepiga ila hakukidhi marks zao na kuachwa waliopiga fresh?
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili.Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL
Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Wewe yako Iko vipi mkuu, bila shaka unasubiria TARI upelekwe huko TARI Makutupora😂😂STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Nadhani mpk TAFORI au TAWIRI km sijakosea wale wa research research wanaitumia hiyo ya PRSS1Wewe yako Iko vipi mkuu, bila shaka unasubiria TARI upelekwe huko TARI Makutupora[emoji23][emoji23]
Issue ni bei gani, mjuba alikuwa anaulizaNadhani mpk TAFORI au TAWIRI km sijakosea wale wa research research wanaitumia hiyo ya PRSS1
Mm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibaoHaliwezi Tokea Hilo.Kuna post gani yametokea hayo???
Zaidi ya Post za Assistant Lectures ambazo mara nyingi wenye master's huwa wachache kuliko nafasi zilizotangazwa.
Hapo ndio fumbo fumboniIssue ni bei gani, mjuba alikuwa anauliza
Yaan mlifeli kwenye written then Oral mkaenda wachache kulingana na post zinazohitajika.. bado wachache haohao mkakandwa oral.Mm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
Kuna wakati unapiga Hovyo Hovyo alaf unakuta placement umo