Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau Naomba kuuliza kwa kada zenye saili tatu, hivi situation ya kuingia oral wachache kuliko nafasi zinazohitajika, inaweza kuwa guarantee ya kupata wote mlioingia?.
Haliwezi Tokea Hilo.Kuna post gani yametokea hayo???
Zaidi ya Post za Assistant Lectures ambazo mara nyingi wenye master's huwa wachache kuliko nafasi zilizotangazwa.
 
Hyo ni TARI muulize Huyu jamaa alipata huko TARI niliona mwaka Jana akishukuru humu kuwa kapata kazi bila connection Mpatuka
Hivi connection zipo mpaka utumishi ukishafika oral? Kwamba wote mmepiga ila akachukuliwa mtu ambae hakuwepo kabisa au amepiga ila hakukidhi marks zao na kuachwa waliopiga fresh?
 
Hivi connection zipo mpaka utumishi ukishafika oral? Kwamba wote mmepiga ila akachukuliwa mtu ambae hakuwepo kabisa au amepiga ila hakukidhi marks zao na kuachwa waliopiga fresh?
Mimi sijui mkuu kwa sababu sihusiki kule, Ni muomba Ajira tu za Serikali kama ww, napiga zangu saili na kusepa sina mda wa kufuatilia hvyo vitu. But hyo nimezunguza kulingana na jamaa alivyokasema humu baada ya kupata kazi PSRS
 
Ukifika Oral kwanza wale PSRS hukupongeza,mengine yanayofuatia Hapo ni Bahati tu kwa kweli.Kuna watu wengine huwa wanatoka kwenye chumba wanalia baada ya oral,lakini mwisho wa siku unakuta kwenye PDF yumo.Haya mambo ni Bahati tu,na kama Mungu kasema iwe yako unakuwa yako tu.
Jamaa alifanya saili 7 NOT SELECTED to NULL

Usaili wa nane Ikawa SELECTED to NuLL na ndio akapata kazi kwenye huu alioenda Oral...Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili.

"Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
 
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Wewe yako Iko vipi mkuu, bila shaka unasubiria TARI upelekwe huko TARI Makutupora😂😂
 
Haliwezi Tokea Hilo.Kuna post gani yametokea hayo???
Zaidi ya Post za Assistant Lectures ambazo mara nyingi wenye master's huwa wachache kuliko nafasi zilizotangazwa.
Mm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
 
Mm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
Yaan mlifeli kwenye written then Oral mkaenda wachache kulingana na post zinazohitajika.. bado wachache haohao mkakandwa oral.

Vipi baada ya kumaliza Oral interview wote mliuzana kuwa interview iliendaje, kama mlifanya hvyo vipi kuhusu comment ya Kila mmoja about That..?
 
Back
Top Bottom