Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Hongera sana Mkuu.Sikuwa online asee..ila Mungu ni mwema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Mkuu.Sikuwa online asee..ila Mungu ni mwema sana
Asee nashukuru sana mkuu, hapa ndio kuna jamaa angu kanipigia kunipa hizi taarifa, binafsi sikuwa hata na habari kabisa.Hongera sana mkuu, karibu sana. Kawe mtumishi mwema.
NAOT ilikugomea kumbe ilikuwa ni push factor ya kwenda HESLB.
Ebu tuacheni Bhs?! Si tulikubaliana Status hazina uhalisia wowote kwny PDFJaman [emoji1316][emoji1316] wale wa selected for null kitu ni uwakikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108]
Shukran sana mkuu,pamoja sanaHongera sana Mkuu.
Kitu ambacho kinakukuta huna habari nacho ndio kinakusapraizi sana.Asee nashukuru sana mkuu, hapa ndio kuna jamaa angu kanioigia kunipa hizi taarifa, binafsi sikuwa hata na habari kabisa.
Ashukuriwe Mungu
Sure mkuu,sikuwahi kufikiria kama ntakuja kuwa mtumishi wa heslb katika maisha yangu kabisa..Kitu ambacho kinakukuta huna habari nacho ndio kinakusapraizi sana.
Kabisa mkuuHawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.
Placement kuchelewa baada ya oral ndio inshu Kubwa.
Kama mimi pia.Sure mkuu,sikuwahi kufikiria kama ntakuja kuwa mtumishi wa heslb katika maisha yangu kabisa..
Ha ha ha ha..ukiona mtu mzima anacheka hivi elewa tu mkuu..tunashukuru Mungu nasi tumekufuata huko kwenye mirija ya asali.
Sikuwa online asee..ila Mungu ni mwema sana
Na ndivyo inavyokuaga yaani ukiona wewe ndo unaikimbilia PDF heeee! Muombe Mungu sana hii huwa inaanza kwa kupigiwa simu kupewa pongezi.Kama mimi pia.
Ila usiondoke humu.Tuendelee kupata comments zako.Hongera sana Mungu ni mwema sana.Sikuwa online asee..ila Mungu ni mwema sana
Watu mnakataa kazi za laki 8???Ila usiondoke humu.Tuendelee kupata comments zako.Hongera sana Mungu ni mwema sana.
Ila we jamaa umetoka mbali sana.Toka ulipoachaga kazi ya laki 8 na ushee kisa mazingira hukuyapenda.Ila Mungu kakupa kazi Serikalini Sasa.Hongera sana!
We Mzee hauogopi kesi ya uhujumu uchumiAhaa, sasa nifanye namna ili mzigo uwe una divert na kuja hapa Ukaguzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787](kiding)
Hakika this is so awesome to us who are waiting for to hear that its possible ....congrats mkuu ukawatumikie vyema wanufaika.Ha ha ha ha..ukiona mtu mzima anacheka hivi elewa tu mkuu..tunashukuru Mungu nasi tumekufuata huko kwenye mirija ya asali.
Ukiwa desperate na kusaka kazi unaweza ona hili la ajabu.
Jibu yote,jibu kama ilivyo ulizwaOhy wakuu mnaopataga kazi huko PSRS, hv mnajibugi Yale maswali yote ya points 5, 5 au ndo kismart tu..
Hebemu tuambieni kwanza nasi tujue..