Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio poa ,,,money bring confidence,, jobless bring coword... Yaaani unapita mule mule boi[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halaf ukiwa jobless ukabahatika kupata pisi unaipelekea moto kwa hasira kama vile inafanya kazi PSRS
 
Kujitolea ni nini, unajitolea kwa muda gani, jitu lina miaka 4 eti unajitolea, hiyo nafasi ww umemaliza chuo muda una miaka 7 mtaani unaendelea kujitolea kwanini usipishe wenzako ambao ni fresh graduate, hiyo ni njia ya kuweka ndg zao. Maana usaili wa psrs watoto wao wanapigwa mapema. Wanakimblia kujitolea au kupondea psrs, huo ni uhuni2.
Wamezoea kubebwa, ipo siku kitaeleka, kujitolea sehemu muda mrefu haimaanishi ndo unasifa za kupata kazi direct kisa una bi mkubwa hapo, utaratibu lazima ufuatwe maana hata wakati unaenda kupewa hiyo nafasi haukushindanishwa, ulichomekwa.
KWANI NYIE MNAONA WAP HIZO NAFASI WANATANGAZA ZA KUJITOLEA UNASHAANGAA JAMAA KAINGIA ANAGONGA MIAKA 5 akikaziwa analalamika, ww ulikubalj kujitolea endelea kujitolea

Ititolr
Kujitolea ni janja janja tu. Kuna watu wanajitolea lakini wanalipwa posho hadi laki 6 isiyo na makato. Sasa huo ni mshahara wa muajiriwaa graduate halmashauri. Anaejitolea kihalali ni mwalimu tu maana huwa hawapewi hata mia. Ila ukisikia MTU anajitolea TBS, TRA, TANROAD, TANESCO, BOT jua hiyo in connection.
 
Kwa hyo kwa asali ya jana alopata humu ni mmoja tu?
Au ile ya kuleta mrejesho wadau wameamua kmya kmya mnaenda kwenye masijala ya wazi?
Nia na madhununi ya mrejesho ni kuwatia moyo wengine kwamba kumbe inawezekana one day kitu kikatiki[emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom